Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Gundu lenu ili
skysports-photo-2021_04_24_21_05.jpg
 
Maumivu yamezidi nastaafu kushangilia Arsenal kuanzia leo tarehe 23th April 2021 nasema Nastaafu hichi ni kikundi cha gays kuanzia kocha Kroenke na Arteta (nakumbuka Aaron alimtetea sana Arteta zaidi ya sana je bado ana imani nae)
Zaidi ya miaka 25 Arsenal haijawahi kufungwa michezo 13 narudia haijawahi ila Arteta kaweka rekodi na ya kufungwa 4 home straight league kaweka yeye pia

Najiuliza why tulimfukuza Emery?Emery alituacha nafasi ya 8 but tangu Arteta aje 2020 January hadi sasa Arsenal haijawahi kuwa juu ya hapo why?au ilikuwa ni mihemko?
computerarsenal njoo uishabikie Chelsea huku ni kula kuku kwa mrija kwanza boss wetu Abramovic ni mpenzi wa team yake kwake mapenzi mbele pesa inafuata Hana ubahili kabisa kocha asipopata kombe unatimuliwa pesa ya usajili anagawa kama njungu ushindwe wewe tu.
 
Some of Major mistakes of Arteta and Edu bila kumuhusisha Kroenke

(1) Kumuacha Torreiŕa
(2) Kumsjili Willian
(3) Mzozo wa Arteta na Ozil
(4) Kutomsajili Houssem Aouar/ kiungo mshambuliaji na kuwekeza nguvu zote kwa kiungo mkabaji/ Partey. Na katika hili Castr alipiga kelele mnoooooo
Leo willian kawa mbaya! Nyinyi sindio mlikuwa mnampamba hapa sisi tuliwambia kabisa willian kaenda kupiga mpunga kwenu na ndio maana sisi tulikataa kumuongezea mkataba wa miaka 3 aliyokuwa anataka
 
Arsenal na timu nyingine watapoteza pound 8m plus undisclosed penalty kwa kujitoa kwenye ESL. Inaelekea aliye-draft ule mkataba wa kujiunga ESL alikuwa mafia, nimesoma sehemu yake.
 
😣😣😣😣😣😣😣

Kroenke naye hataki kuiacha club yetu,huyu angekuwa club zetu za Simba na Yanga wanampiga kitu cha kienyeji anaondoka bila kudai hisa zake shubamiiiiiiit.
 
Mechi ya 34 Man City anaweza akatawazwa mabingwa wa EPL endapo Man City atamfunga Crystal Palace Jumamosi na Man United akafungwa na Liverpool Jumapili
 
Thierry Henry, Dennis Bergkamp and Patrick Vieira join Spotify founder's bid to buy club, unfortunately the current Arsenal owner, American idiot is not willing to sell.
 
Arsenal na timu nyingine watapoteza pound 8m plus undisclosed penalty kwa kujitoa kwenye ESL. Inaelekea aliye-draft ule mkataba wa kujiunga ESL alikuwa mafia, nimesoma sehemu yake.
Na waliousaini walikua malofa kweli kweli
 
Hahahahahahah, pamoja na Ozil kuvunja mkataba na arsenal na kuhamia Fenerbahçe, arsenal bado inaendelea
Kumlipa Ozil 90% wa mshahara wake £315,000 kwa week, hii itaendelea mpaka kipindi cha mikataba wake utapoisha.
 
Arteta kwenye pre-season angejaribu combination ya Guendouz/Torreira, Partey na Creative mid mmoja iwe Odegaad au Aouor(kama watasajiliwa) anaweza kupata something different.
Asee poleni sana bado mna imani na Arteta
 
Back
Top Bottom