Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,080
- 12,316
Arteta ni kizungumkuti tu niamini mimi.Ukiongelea historia kama muamuzi wa nani awe kocha Arsenal basi hapo inabidi aje Henry. Henry ana historia nzuri kuzidi hao wawili kwa Arsenal. Hoja yako haina mashiko.
Arteta hajavunja ungo? Ndiyo ni kweli. Arsenal ilimtaka Mourinho, akahudhuria mazoezini kisha deal haikufanikiwa, kwa management ya Arsenal inavyotaka kuspend pesa zake ni ngumu kumpata kocha mkubwa ambaye atakua na ustahimilivu wa Wenger.
So Arteta amekua option kwakua yeye anakua na timu iko safarini kufufuka kila mmoja anamhitaji mwenzake. Mawinga wa Citt wote walikua trained na Arteta, yeye ndiyee kamuibua Foden, ndiye amembadilisha Pepe na kumpeleka LW ambapo kapafom vizuri.
Ole amewahi kukuza kiwango cha mchezaji gani?
Ole ameshashusga daraja timu ngapi?
Rais wa Barca, Laporta kasema anamtaka Arteta. Ole amewahi kutakwa na klabu gani?
Arteta amekuza viwango vya makinda na ameachana na deadwoods, Ole kakuza kiwango cha kinda gani? Deadwoods wangapi kaachana nao? Timu iliyovimbiana wachezaji wasio na msaada ni ujanja?
Kama tuko hai tutaona, ninani atakae leta maendeleo kwenye timu yake.
Arsenal na Man united matatizo yetu yana fanana, wote tunapigana kurudi kwenye ubora wetu, sasa ngoja tuone nani atakae kuwa wakaanza kuirudisha heshima hiyo.



unafananisha kifo na usingiz