Matchday vs Villarreal.
Mechi tano zilizopita Villa kapoteza tatu na ameshinda mbili. Amepoteza kwa Osasuna, Alaves na game ya mwisho kapoteza dhidi ya Barcelona. Games zake mbili amemfunga Levante na Dinamo.
Katika games tatu alizopoteza ukiachilia Barcelona hizo mbili ni timu ambazo kaziacha mbali sana kwenye msimamo wa ligi. Na hata ambazo anashinda imekua ngumu kukaa na clean sheet hii inamaanisha ukuta wake una matobo kidogo.
Wana majeruhi mmoja tu ambaye amekosa mechi za nyuma pia hivyo kutokuepo kwake siyo tatizo kubwa. Arsenal katika games tano zilizopita ameshinda mbili, amesuluhu mbili na kufungwa moja. Kuna wachezaji watatu wana hati hati ya kuepo ambao ni Laca, Auba na Tierney ila Luiz ni uhakika kabisa kwamba hatakuepo.
Villarreal inatumia 4 4 2 formation ambayo Arsenal imetusumbua sana msimu huu, tulipigwa na Southampton kwa formation hii Burnley wametusumbua nayo pia na hata juzi Everton katufunga kwa 4 4 2 (diamond). Ukijumlisha na tatizo letu la kuanza mechi huku hatuonyeshi kama tunataka magoli basi kazi itakua ngumu kidogo.
Leo kitakachotupa ushindi ni forwards. Na kwakua tunaanzia ugenini itakua vyema kama tutapata magoli hivyo ni vizuri Pepe akianza (anajua kucut in na kuscore na ana bahati Europa) kwakua Laca na Auba wana majeruhi aanze Martinell kama CF, AM acheze Emile na Saka akae kama RW.
Xhaka anajituma ila siyo mzuri kupandisha mashambulizi akitokea LB hivyo Cedric angeanza na CB wetu wenye bahati Rob na Mari wakaweka ukuta. Middle ambayo ilicheza mpira hakupita mtu ilikua ya Elneny na Thom sijui kwanini Arteta hawaweki tena hawa wawili.
Ila kwavile kanuni ya mpira inasema 'Usibadilishe timu ya ushindi' inawezekana kabisa Arteta akarudia kikosi cha Everton.
Tukutane baadaye.