Niliongea last week kuwa Arsenal mpaka sasa natambua haina kocha ila ina baadhi ya wachezaji wazuri na hao wachezaji wakiwa kwemye good Mood ni balaa na wakiwa off Mood hutaamini unachokiona kwenye TV yako but nani wa kulaumiwa?ni Arteta yeye ndiye kakabidhiwa timu ila naona Arsenal inacheza kutokana na experience binafsi za wachezaji hana vision sasa ana tofauti gani na mimi shabiki mfano nkipewa timu?anyway naapa mimi Arsenal akibeba EUROPA league NTAKUNYA kutoka posta hadi Mwenge kwa kikosi hiki trust me!Nawatakia weekend njema wana Gunners wenzangu!kwa ushindi wa Sare wa leo!Natunza Comment yangu!