Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Maumivu yamezidi nastaafu kushangilia Arsenal kuanzia leo tarehe 23th April 2021 nasema Nastaafu hichi ni kikundi cha gays kuanzia kocha Kroenke na Arteta (nakumbuka Aaron alimtetea sana Arteta zaidi ya sana je bado ana imani nae)
Zaidi ya miaka 25 Arsenal haijawahi kufungwa michezo 13 narudia haijawahi ila Arteta kaweka rekodi na ya kufungwa 4 home straight league kaweka yeye pia

Najiuliza why tulimfukuza Emery?Emery alituacha nafasi ya 8 but tangu Arteta aje 2020 January hadi sasa Arsenal haijawahi kuwa juu ya hapo why?au ilikuwa ni mihemko?
ACHA UONGO...
1. TOKA 1930 HAMJAWAHI KUFUNGWA MECHI 13 NYUMBANI
2. MIAKA 25 HAMJAWAHI KUFUNGWA NJE NDANI NA EVERTON
3. ARTETA TO STAY..

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
13 league defeats, huyu next season sijui atajificha kwenye mwamvuli gani, maana kila siku ni oooooh anaunda timu, ngoja aunde ili tumpime vizuri badae
Kocha hamna hapa Wenger angekuwepo kwa wachezaji hawa hawa angefika mbali,wenger keshakuwa na Chamack, frimpong,denilson, senderous,Almunia,Bendtner na hakuikosa champions league Arteta katumwa kuishusha Arsenal thamani ni suala la muda tu
 
Maumivu yamezidi nastaafu kushangilia Arsenal kuanzia leo tarehe 23th April 2021 nasema Nastaafu hichi ni kikundi cha gays kuanzia kocha Kroenke na Arteta (nakumbuka Aaron alimtetea sana Arteta zaidi ya sana je bado ana imani nae)
Zaidi ya miaka 25 Arsenal haijawahi kufungwa michezo 13 narudia haijawahi ila Arteta kaweka rekodi na ya kufungwa 4 home straight league kaweka yeye pia

Najiuliza why tulimfukuza Emery?Emery alituacha nafasi ya 8 but tangu Arteta aje 2020 January hadi sasa Arsenal haijawahi kuwa juu ya hapo why?au ilikuwa ni mihemko?
sO sad
 
Mengi ambayo nimekuwa nikieleza sasa yanadhihirika. Nimekuwa nikiona hatua 28 mbele.

1. Ni mpumbavu pekee atakae kubali Arteta kujenga timu kwa miaka mitatu ilhali alisaini miaka mitatu. Inamaanisha asipotimiza majukumu kwa miaka mitatu klabu inaanza project upya tena na tena?!. Arteta sio kocha kama nilivyowahi kutanabaisha awali.

2. Timu haina kocha! Pamoja na Arsenal kumleta asiyekuwa kocha, ni dhahiri unaona timu inacheza kwa uwezo wa wachezaji na juhudi binafsi. Timu haina formation wala tactics.

3. Sajili za Willian na Partey niliweka doubt toka tetesi hadi confirmation kwa kusema "Sijaelewa sajili ya Willian na sitotoa support" kuna mtu alisema Willian haitaji support yangu.

4. Sajili ya Partey niliuliza anasajiliwa kufanya nini ilhali tumemuondoa Toreirra na tunaye Niles?. Sasa ni wazi Partey yupo Arsenal kuchelewesha muda kwa UNNECESSARY touches akiwa na mpira.

5. Nilikuwa mtetezi wa Mustafi na Kolasinac kwa sababu niliamini uwanjani hawachezi pekee yao kupelekea kuruhusu magoli, sasa tunashudia hakuna Shkodrani wala Kolasinac je magoli yanatokea wapi?

6. Ni wakati wa Arsenal kuhoji Premier League na FA kuhusu ajenda ya VAR dhidi yake. Pamoja na uwezo hafifu na makosa ya klabu bado VAR imekuwa ikiinyonga Arsenal. Sasa yamefika matukio 22 niliyoshuhudia ya VAR against Arsenal.

#KroenkeOut #EduOut #ArtetaOut
 
Kocha hamna hapa Wenger angekuwepo kwa wachezaji hawa hawa angefika mbali,wenger keshakuwa na Chamack, frimpong,denilson, senderous,Almunia,Bendtner na hakuikosa champions league Arteta katumwa kuishusha Arsenal thamani ni suala la muda tu
Leo mnamkumbuka Babu Wenger?? Si mlimfukuza kwa mbwembwe nyie na Bango juu likipepea mawinguni ati WengerOut, muacheni babu apumzike

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mengi ambayo nimekuwa nikieleza sasa yanadhihirika. Nimekuwa nikiona hatua 28 mbele.

1. Ni mpumbavu pekee atakae kubali Arteta kujenga timu kwa miaka mitatu ilhali alisaini miaka mitatu. Inamaanisha asipotimiza majukumu kwa miaka mitatu klabu inaanza project upya tena na tena?!. Arteta sio kocha kama nilivyowahi kutanabaisha awali.

2. Timu haina kocha! Pamoja na Arsenal kumleta asiyekuwa kocha, ni dhahiri unaona timu inacheza kwa uwezo wa wachezaji na juhudi binafsi. Timu haina formation wala tactics.

3. Sajili za Willian na Partey niliweka doubt toka tetesi hadi confirmation kwa kusema "Sijaelewa sajili ya Willian na sitotoa support" kuna mtu alisema Willian haitaji support yangu.

4. Sajili ya Partey niliuliza anasajiliwa kufanya nini ilhali tumemuondoa Toreirra na tunaye Niles?. Sasa ni wazi Partey yupo Arsenal kuchelewesha muda kwa UNNECESSARY touches akiwa na mpira.

5. Nilikuwa mtetezi wa Mustafi na Kolasinac kwa sababu niliamini uwanjani hawachezi pekee yao kupelekea kuruhusu magoli, sasa tunashudia hakuna Shkodrani wala Kolasinac je magoli yanatokea wapi?

6. Ni wakati wa Arsenal kuhoji Premier League na FA kuhusu ajenda ya VAR dhidi yake. Pamoja na uwezo hafifu na makosa ya klabu bado VAR imekuwa ikiinyonga Arsenal. Sasa yamefika matukio 22 niliyoshuhudia ya VAR against Arsenal.

#KroenkeOut #EduOut #ArtetaOut
Hutawaona Leo hapa.

Na mapicha picha yao ya mazoezini na mapambio yao kuhusu Arteta.

Edu na genge lake hususan Arteta ambae baada ya kukaa muda mchache tu akafanywa Manager wana agenda zao sawia na Kroenke. Mimi kusema kweli sielewi ni vipi tunamlaumu tajiri ila the bottom line ni Edu na Arteta.
 
Definitely! Kuna nyakati unajiuliza Huyu/hawa wanaangalia na kuelewa mpira!

Mara kadhaa tumetoa tahadhari kuhusu Edu na Arteta watu hawaelewi. Sasa shuhudia timu inapoelekea!

Edu na Arteta washukuru Covid-19 na Covid-21 maana wasingelikuwa katika hizo nyadhifa, na waombe Coronavirus iendelee shabiki wasiruhusiwe viwanjani.

Kama Arteta hadi sasa ni kocha, ilikuwaje Unai akupatiwa muda?
 
Back
Top Bottom