Mzee huu muda mambo ya kurisk sijui upupu gani ni upumbavu wa hali ya juu kwa timu kama ya Arsenal. Unaweza kurisk pale ambapo kuna sehemu una uhakika na kitu fulani mfano Manchester United Manchester City Chelsea Liverpool hawafanyi mambo ya kutowarisk wachezaji wao sababu kila kikombe au kuna nafasi wanaitaka lazima wachezaji wapambane na pia sisi hata hiyo Europa hatuna uhakika nayo kila shabiki anajua Arsenal kubeba kombe ni 30% inawezekana EPL tungepambana kwa nguvu zote tungeweza kupata nafasi ya Europa ona sasa kinachoenda kutokea tukikosa nafasi ya kutwaa kombe tutakuwa out of europe competition next season na kwa timu kama Arsenal itakuwa ni pigo kubwa kuanzia kwa mashabiki hadi wamiliki kwa miaka takribani 30 mfululizo tupo kwenye Europe competition leo hii tutagombania FA na Carabao pekee



sababu EPL hatutaweza kulibeba na atakayekuwa ameweka rekodi ni Arteta
Namalizia kwa kukwambia haina haja ya kuweka dau inafahamika next season kwa kikosi hiki Arsenal haitakuwepo Top 10 narudia haitakuwepo Top 10 na msimu huu Leeds na Aston villa wakichanga karata vizuri Arsenal atamaliza nafasi ya 11 why not next season tukawa out of top 10 na kuanza kuwa bottom team?