Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ninacho wapendea mashabiki wa Asaniali, wakifungwa mbio nyingi huwaoni humu.

Tangu asbuh naitafuta comment ya AronArsenal sijaiona hata moja!
WAMEKIMBIA UZI WAO!! WAMELALA MAPEMA!! TUNAWAKARIBISHA KWENYE UZI WA MAN UNITED KUANZIA SAA TANO USIKU HUU, NB: POGBA ATAKUWEPO.msikose.
 
Inaonekana Arsenal kupoteza ndio furaha yako wewe na ARV,komaa kutafuta hela machimboni huko,Hii ya Arsenal haiwezi kukusaidia.
Mkuu baada ya kazi ngumu ya kufukua fukua ardhi, kukimbizana na walinzi wa poli (kumbuka hapo ukikamatwa miezi sita mpaka mwaka jela inakuhusu) huwa tuna jifariji na vipigo vya Asaniali.

Kwa hiyo Asaniali hapo anakwenda kama kiburudisho, sasa kwanini useme haini saidii?

Asaniali ananisaidia kunipa furaha.
 
Mkuu,sisi tutafungwa na wote ila nyie Nyumbu ni kuwakalisha tu, mkijitahidi sn labda sare
 
Kama Aston villa tunashindwa kumfunga tuna next 3 matches vs Leeds ,City na Leicester (je tutamfunga nani?au tutajiandaa kurudi nafasi ya 15?)ukianzia game ya Wolves hadi ya Leicester hawa wote walitufunga.
Game inaendelea tusubiri 90 minutes
Kwa City mtashinda, si huwa mnapenda kubania wakubwa

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom