johrobby
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,066
- 2,253
[emoji23][emoji23][emoji23]kama ndo kombe lenu kutufunga ss n sawa jisifienHahaahah Wewe Cheltako juzi tu tumekukalisha bao tatu, mnasahau haraka,next round unaukalia kama dawa.
[emoji23][emoji23][emoji23]kama ndo kombe lenu kutufunga ss n sawa jisifienHahaahah Wewe Cheltako juzi tu tumekukalisha bao tatu, mnasahau haraka,next round unaukalia kama dawa.
Mkuuu unajua arsenal timu ipo EPL TU KUIFUNGA CHELSEA TU KWA TUCHEL HAWATUGUNGI JOHN TERRY TU KAWAFUNGUA[emoji23][emoji23][emoji23]kama ndo kombe lenu kutufunga ss n sawa jisifien
Futuhi bhn[emoji3][emoji3][emoji3]Dah... Kuna kipindi cha Unai watu kabisa walikuwa wanaamini wana kikosi bora, lakini tatizo ni kocha [emoji23]
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Mid table ndio mafanikio yenu.Sisi kumgonga Cheltako nje ndani ndio ushindi wetu mkuu hahahaha
[emoji16][emoji16][emoji38][emoji28][emoji1787][emoji1787]Kuna yule wanamuitaga Piere Alimiliki Albamu Yangu hivi hajacheza leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unawakera[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]CavaniiiiiiiiiiiiiiView attachment 1696260
Hiyo timu yako Bila Panadol Hulali.Cheltako jiKazeni mtafika tu IPO siku
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Partey anainamishwa adi na bakayoko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mabroo tumezingua sana.
Tumepigwa hapaView attachment 1696255
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Koma.Willy Jr mfukuzeni huyu hana kifua kama mashabiki wa Arse8 halisi wanaojua utamu wa kufungwa.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Mkuu vp mbona hujaleta matokeo ya FT au gem iliishia HT?Brunoooo FernandezzzzzView attachment 1696269
[emoji848]bando liliisha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]punda bana bek zenu zkcheza znatngsha makalio2 straika wanajpigia2Brunoooo FernandezzzzzView attachment 1696269
Tuanzebe akaona mpakuane kizamu zamu.Hivi mnajua kua sisi ndio tuna miliki mwiko?
Maana yake, nyinyi pikenii sisi tutakuja kuwapakueni.
Karibuni OT muone Evaton anavyo pakuliwa.