Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ninacho wapendea mashabiki wa Asaniali, wakifungwa mbio nyingi huwaoni humu.

Tangu asbuh naitafuta comment ya AronArsenal sijaiona hata moja!
 
Naona inabidi nimvumilie Arteta kishingo upande maana ni kama kila anavyojitahidi kubadilisha hali na uanza kushinda anaanguka na kuteleza tena. Anatupa matumaini kisha anatuangusha. Luiz hivyo hivyo. Nataka niseme wakati wa kutafuta kocha mpya umefika ila naona labda nimvumilie tu, huenda kuna jambo jema inakuja mbeleni kama wenzangu kina Aaron na Gspain wanavyoona.
 
Viongozi wangekuwa na mentality kama za mashabiki kila cku makocha wangukuwa wanafukuzwa aisee,kabla ya red card ya Luis wolves walikuwa wamekamatwa balaa bt mistake za mchezaji zikabadilisha game nzima,hapa unamlaumu kocha ambaye toka December alikuwa hajapoteza mechi?
 
Naona inabidi nimvumilie Arteta kishingo upande maana ni kama kila anavyojitahidi kubadilisha hali na uanza kushinda anaanguka na kuteleza tena. Anatupa matumaini kisha anatuangusha. Luiz hivyo hivyo. Nataka niseme wakati wa kutafuta kocha mpya umefika ila naona labda nimvumilie tu, huenda kuna jambo jema inakuja mbeleni kama wenzangu kina Aaron na Gspain wanavyoona.
Mkuu, ngoja nitumie mfano wa moja ya timu zilizo fanikiwa sana miaka ya karibuni kuanzia 2000s, na hapa nitaitumia FC Barcelona.

Hawa wanatuzidi almost kila kitu ukianzia fedha, aina na thamani ya wachezaji, vikombe, facilities, mafanikio nk nk.

Miaka ya hivi karibuni nao wamejikuta kwenye pressure ya kisoka iliyo waondoa kwenye utamaduni wao wa kunoa vipaji toka pale kwenye academy yao ya La Masia na kuanza kutumia marundo ya hela kununua wachezaji.

Niliwahi kusema kuwa hawa jamaa kwa hivi sasa wameporomoka na kibaya zaidi wanaendelea kuporomoka kwa kuwa wanashughulikia mambo tofauti na changamoto inayo wakabili.

Na wameingia kwenye mkumbo wa 'ajiri-timua' wakihangaika kusolve tatizo lao. Sasa hivi wanatimua hadi rais wa klabu lkn wapi, imefika sehemu wameanza kumlaumu Messi kwa kufeli kwao. Simply kwa mtazamo wangu, wameondoka kwenye culture yao ama kwa kutojiandaa ama kutojielewa huku wakiwa hawana strategy in place ya kutake over.

Ninachotaka kusema ni nini?

Tatizo la Arsenal sio kocha kwa sasa, I can bet acha vitu vingine constant kisha leta ama Guardiola au Klopp hakuna cha maana watafanya.

Inawezekana Arteta akawa na mapungufu hasa ukizingatia hana uzoefu wa high managerial positions km aliyo nayo na kwa kipindi alichopewa timu, ila kwa sasa ni mtu sahihi kabisa kututoa hapa tulipo.

Mtakumbuka Arsenal waliwahi kumuapproach Luis Enrique alitaka £200m transfer kit ili aje pale, tukanywea!! Akafatwa Allegri same story ikabidi twende kwa Emery naye akafeli bado na hakupewa muda wa kutosha.

In short, kwa Arsenal kufukuza kocha huyu na bila kutatua mambo ya msingi (squad investment) ni sawa na kupaka rangi tatizo letu tukiamini limepata sura mpya (utatuzi). Na proper squad investment kitaalamu ni angalau madirisha matatu ya majira ya joto, yaani ingiza hawa, toa wale na upgrade baadhi toka academy yako.
 
ndio maana nikasema inabidi nimvumilie (shingo upande) maana juhudi zake naweza kusema naziona ila ni kama ana bahati mbaya hivi maana kila akipiga hatua mbele anajikuta anajikwaa na anaanza upya. Mtu wa aina hii anahitaji uvumilivu kuliko lawama. Mbeleni mambo yatakaa tu sawa maana jamaa mpambanaji so support kwake ni muhimu kuliko lawama na hatimae matunda mema yatakuwa kwa timu na mashabiki wote. Sisi tumpe moyo, yaliyobaki ni yeye kushinda mechi arejeshe utulivu.
 
Hii arsenal itafute ligi ya kwake tu, rufaa ya luiz juu ya kadi nyekundu imegomewa, wakati ile ya bednarek imefutwa

FB_IMG_16124649554564917.jpg

Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Now you know why we should have won the man u game.

Hizi komedi zingine zinatia aibu.
 
Red ya Luiz iliinfluence matokeo ya mechi nzima kabla ya red game ilitawaliwa na Arsenal.

Red ya Bednarek haikua muamuzi wa matokeo ya ile game as United ilishaonyesha kudominate game.

Ikitokea hiyo red ikafutwa hiyo itamaanisha game nzima Arsenal walionewa so ili isionekane wameonewa inabidi hiyo red isifutwe.
 
Arsene Wenger aliwahi kusema hakuna refa wa uingereza atakayeitwa kuchezesha game ya kombe la dunia. Na ikawa hivyo, na tangu hapo imeonekana kama vile marefa wana kisasi na Arsenal.

Yawezekana ushaona picha zaidi ya 8 zikionyesha mchezaji wa Arsenal akichezewa rafu ila haikutolewa kadi yeyote. Picha ya karibuni kabisa ni ya Fernandes akimkanyaga Xhaka.

Kuanzia 2015 kulikua na ukusanyaji wa data za nafasi ya timu ilipo katika kua favoured. Arsenal imekua ikishika nafasi ya 19 na 20 katika timu zinazopendelewa.

Mark Hasley aliyewahi kua refa katika ligi kuu kuanzia 1998 mpaka 2013 anasema kua "Nishajikuta katika hali hiyo, unaliona jambo ila unaambiwa useme haujaliona. Hii ishu hufika mpaka kwenye chama cha marefa, huko hua tunagewa maelekezo ya nani apendelewe, mipira mingapi ya kurusha, mingapi ya kona. Kuna upangaji wa mchezo hufanywa sana na marefa"

Arsenal inaongoza kwa kua na timu yenye red nyingi ila maajabu yake ni timu iliyocheza faulo chache mno. Inashika nafasi ya 15 kwa timu zilizocheza faulo nyingi.

Tunaonewa ndiyo ila niliwahi kusema timu inayokosa mtu mmoja inatakiwa kushinda, si ni beki katoka? Ingiza beki mwingine kisha cheza 4 3 2 hata gape halitakua felt.
 
Hii timu nayo ni ya kuonewa na marefa au kuonewa huruma ..ebu acheni kelele nyingi, mfungeni kwanza Spurs ndo tujue kama ninyi Arse8 munaonewa ama hamuonewi.
 
Game iliyopita tunapoteza kwa wolves huku wote tukiona jinsi tulivyokua hovyo, ngumu kucreate chances na ngumu kuconvert.

Juzi kabla ya red game nzima ilitawaliwa na Arsenal na kila mtu alijua matokeo ni Arsenal kushinda. We had a solid performance.

Hatujafungwa kwaajili ya silly reasons kama mechi iliyopita ila tumefungwa kutokana na uonevu na maamuzi ya hovyo ya Craig Pawson. Tunacheza na chelsea jorginho ana yellow, anamkanyaga mchezaji wa Arsenal ila hagewi yellow nyingine.

Na refa ni nani? Otea.
 
Hii timu nayo ni ya kuonewa na marefa au kuonewa huruma ..ebu acheni kelele nyingi, mfungeni kwanza Spurs ndo tujue kama ninyi Arse8 munaonewa ama hamuonewi.
Plastiki la cheltako linaniquote limevimbisha mdomo na hapo lina mimba ya Arsenal ya bao tatu.

Jikaze utajifungua hivi karibuni tu.
 
Red ya Luiz iliinfluence matokeo ya mechi nzima kabla ya red game ilitawaliwa na Arsenal.

Red ya Bednarek haikua muamuzi wa matokeo ya ile game as United ilishaonyesha kudominate game.

Ikitokea hiyo red ikafutwa hiyo itamaanisha game nzima Arsenal walionewa so ili isionekane wameonewa inabidi hiyo red isifutwe.
Vizuri kwa kufikiria nje ya box

Kwa lugha ya kijajusi tunasema " mbogo amechafukwa" tukutane game zijazo
 
I think the team is up for the fight again lakini kiukweli haya maamuzi ukiyatanzama vizuri yanakuwa na propagated effect huko mbeleni pia.

Straight red card ya Luiz maana yake anakosa mechi tatu, ni ukweli pia kuwa straight red ya Leno ambaye naye atakosa mechi 3 ni matokeo ya ile red ya Luiz.

Kutokuwepo Luiz kunatunyima depth kwenye defence yetu wakati Leno ndio kipa namba 1 na tegemeo kwa Arsenal, in fact tumeadhibiwa kwa mechi 4 mfululizo.
Vizuri kwa kufikiria nje ya box

Kwa lugha ya kijajusi tunasema " mbogo amechafukwa" tukutane game zijazo
 
Kikosi kinachoenda Europa kina kila unayemjua isipokua Runarsson na sababu ni inasemwa hana kiwango. Matt Macey alikua hapo miaka yote baada ya Martinez kuondoka akasajiliwa Alex na akawa mbele ya Macey.

Kisha Alex kacheza games kadhaa kaonekana ni kiazi inabidi atolewe kwa mkopo akajikomaze. DoF aliyefika ana kazi kiukweli. Makipa wa Academy wamejumuishwa ila aliyesajiliwa kutoka nje hajajumuishwa.

Hii inamaanisha kiwango chake ni kidogo kuliko waliokuepo academy and yet kuna pesa imetumika hapo.

Mat Ryan awe fit or else tupo matatizoni.
 
Arsene Wenger aliwahi kusema hakuna refa wa uingereza atakayeitwa kuchezesha game ya kombe la dunia. Na ikawa hivyo, na tangu hapo imeonekana kama vile marefa wana kisasi na Arsenal.

Yawezekana ushaona picha zaidi ya 8 zikionyesha mchezaji wa Arsenal akichezewa rafu ila haikutolewa kadi yeyote. Picha ya karibuni kabisa ni ya Fernandes akimkanyaga Xhaka.

Kuanzia 2015 kulikua na ukusanyaji wa data za nafasi ya timu ilipo katika kua favoured. Arsenal imekua ikishika nafasi ya 19 na 20 katika timu zinazopendelewa.

Mark Hasley aliyewahi kua refa katika ligi kuu kuanzia 1998 mpaka 2013 anasema kua "Nishajikuta katika hali hiyo, unaliona jambo ila unaambiwa useme haujaliona. Hii ishu hufika mpaka kwenye chama cha marefa, huko hua tunagewa maelekezo ya nani apendelewe, mipira mingapi ya kurusha, mingapi ya kona. Kuna upangaji wa mchezo hufanywa sana na marefa"

Arsenal inaongoza kwa kua na timu yenye red nyingi ila maajabu yake ni timu iliyocheza faulo chache mno. Inashika nafasi ya 15 kwa timu zilizocheza faulo nyingi.

Tunaonewa ndiyo ila niliwahi kusema timu inayokosa mtu mmoja inatakiwa kushinda, si ni beki katoka? Ingiza beki mwingine kisha cheza 4 3 2 hata gape halitakua felt.
Niliwahi kueleza humu baada ya ushindi wa Liverpool dhidi ya Arsenal, nikieleza VAR tuliona itakuwa sehemu ya haki lakini ndio inazidi kufinya.

Unategemea VAR ikupatie matokeo sahihi huku imekaliwa na Mike Dean, Craig Pawson na mechi akichezesha Jon Moss?

Craig Pawson sio mara ya kwanza, amewahi kumtoa Coquelin kwa controversial red card na kutoa penalty. Southampton wao wamefika mbali na kudai referee aliyecheza mchezo wa Manchester United hawaitaji kumuona akichezesha michezo yao na kusema "Akipangwa kuchezesha sisi hatutopanga kikosi kucheza maana matokeo yatakuwepo tayari, PL itumie hayo hayo."

Hili suala la formation naona alifanya hivyo maana alimuondoa Lacazette na kuingia Gabriel. Wakasimama Hector, Rob, Gabriel na Cédric | Smith, Partey na Xhaka | Saka na Pepe nguvu imekata baada ya red card ya Leno.

Michael Oliver na Sian Massey-Ellis ndio waamuzi pekee waliobaki kwa Arsenal.
 
Back
Top Bottom