Mkuu
mysterio salama?
Mara nyingi huwa najitahidi kuwa clear kwamba KWA HALI YA SASA YA ARSENAL, Arteta is the best option we can afford huwa sina maana ni mtu sahihi kuliko mwingine, statement yangu huwa ni conditional muda wote!!
Hatuna uwezo wa kuajiri high profile coach, squad yetu inahitaji overhaul ya maana na kifedha tupo weak kiasi na pia hatupo hata Uefa ukichanganya na effect za Covid-19 ndio shida kabisa.
Kabla hata Arteta hajapewa timu nilicomment humu nikasema kocha pekee Arsenal inaweza kumuajiri baada ya Emery ni huyu na sababu kubwa niliyotoa ni pesa na kuna watu walinipinga nakumbuka.
Kwa Arteta na Arsenal ni a kind of win-win situation, kwake ni 'dream job' na kwetu ni 'affordable', na nadhani hata kama ataondolewa Arteta tutatafuta kocha ambaye ni 'average' mwenye kuweza kuleta 'surprises'.