The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Sasa unaenda wapi?Arsenal kwa sasa itoshe kusema inatosha ,tunaishi kwa historia na kujiita Big 6 ila kiukweli hatuna utofauti na Southampton au Leeds United, hata hilo jina la Big 6 alitakiwa Leicester achukue nafasi yetu Trust me Arsenal ni historia imekuwa hata uefa atoe top 8 ya kufuzu Champions league basi hatutaipata hyo nafasi hii ndio Comment yangu ya mwisho ninapumzika kwenye hili jukwaa kwa muda usiojulikana
Tatizo la Arsenal ni kocha au wachezaji wake mpaka sasa hata humu hakuna anayejua tatizo ni nini na kwangu binafsi Arsenal sio timu kubwa au Big 6 ni kujidangaya kwa upumbavu wa kisenge
Nawaachia timu mashabiki wa Arsenal die hard fan ambao ukweli mnaujua ila kukubaliana na hali halisi hamuwezi



Inabidi wamuuombe ashushe mikono chini, lasivyo goma linashuka daraja hili.Laana yake bado itaendelea kuwaandama.View attachment 1696023
Njoo ushabikie Chelsea utoe stress hatuna ubahili wa kusajili, kocha yoyote asipopata Mafanikio tunamtimuaKwa comment yako imebidi nijibu,kweli kabisa Arsenal haijitambui na haijui itakacho that's the truth, Arteta katupa makombe 2 yes that's fine ila tangia aifundishe Arsenal kuanzia January 2020 hadi sasa February 2021,nafasi yake ya juu kwa Arsenal ni ya 8kama viongozi hawana vision ,mimi kama shabiki kwa nini nipoteze hela zangu kibanda umiza kuangalia mechi za Arsenal?
Njoo ushabikie Chelsea utoe stress hatuna ubahili wa kusajili, kocha yoyote asipopata Mafanikio tunamtimua
sema wenye pesa bro' ila polenWenye akili wameshaondoa makocha takataka

Ni tabia mbaya uliyotufundisha. Tunaazimia kuiacha hata hivyosasa dada mkubwa naona mnagawa uroda tu
Katika uzi wenu wa Cheltako nilielezea na humu nilielezea. Sijioni nikirudia.Usisahau kuielezea na ile kadi ya kovacic kwenye fa
kweli mkuu umeshinda goli 9 leoLeo namuonea huruma sana Aston Villa, magoli yakipungua sana ni manne!