Mmeshinda njaa tayari. Hongereni.Nilikuwa nahofia kuhusu huyo Runarsson bora hajapangwa,Tunashinda game hii
HahahahIlo moja utafunga kipindi ushakula tatu.
Sasa hapo nitakimbia nini?
Namuona Grealish pale akimpasia Watkins, la la la la goooooooooooo.
Inaonekana Arsenal kupoteza ndio furaha yako wewe na ARV,komaa kutafuta hela machimboni huko,Hii ya Arsenal haiwezi kukusaidia.Wacha ituuwe, tumeipenda wenyewe View attachment 1696070
Wewe cheltako kwako hatushindagi njaa, wewe na Nyumbu nyie ni mama Huruma hamtunyimi.Mmeshinda njaa tayari. Hongereni.
Hahaahah Wewe Cheltako juzi tu tumekukalisha bao tatu, mnasahau haraka,next round unaukalia kama dawa.itoshe kusema arsenal n level ya kina westbrom na kina fulham uko -london is blue-![]()







Brother vipi hali??Kwa comment yako imebidi nijibu,kweli kabisa Arsenal haijitambui na haijui itakacho that's the truth, Arteta katupa makombe 2 yes that's fine ila tangia aifundishe Arsenal kuanzia January 2020 hadi sasa February 2021,nafasi yake ya juu kwa Arsenal ni ya 8kama viongozi hawana vision ,mimi kama shabiki kwa nini nipoteze hela zangu kibanda umiza kuangalia mechi za Arsenal?
Kocha bora mnayesema apewe muda katika mechi 23 kafungwa 10![]()
Mkuu wakija wenye arsenal yao itakuwa balaa hapa ujueArteta hasn’t improved Arsenal, they are worse now than when under Emery - they were much more fun to watch them, they had firepower going forward. Arsenal are tighter defensively but they just don’t score. Also don’t understand the Smith Rowe hype.
Pale Arse8 tuliamua kupigwa wazi waziEmi Martinez bonge la kipa , arsenal mkamuuza !![]()



Sawa ZuchuHahaahah Wewe Cheltako juzi tu tumekukalisha bao tatu, mnasahau haraka,next round unaukalia kama dawa.

Hawawezi kukumbuka. Saiv yanawakuta wanajiona kama wanaonewa.Usisahau kuielezea na ile kadi ya kovacic kwenye fa
Haya utaongea haya maneno ukiwa umeshuka daraja.Wewe cheltako kwako hatushindagi njaa, wewe na Nyumbu nyie ni mama Huruma hamtunyimi.
Hizo gemu zinazofuata mtabakwa bila huruma.Kama Aston villa tunashindwa kumfunga tuna next 3 matches vs Leeds ,City na Leicester (je tutamfunga nani?au tutajiandaa kurudi nafasi ya 15?)ukianzia game ya Wolves hadi ya Leicester hawa wote walitufunga.
Game inaendelea tusubiri 90 minutes
X factor






Wewe kidogo tutakuhurumia. Hawa vichwa ngumu waliobaki ngoja tuendelee kuwanyoosha.Arsenal kwa sasa itoshe kusema inatosha ,tunaishi kwa historia na kujiita Big 6 ila kiukweli hatuna utofauti na Southampton au Leeds United, hata hilo jina la Big 6 alitakiwa Leicester achukue nafasi yetu Trust me Arsenal ni historia imekuwa hata uefa atoe top 8 ya kufuzu Champions league basi hatutaipata hyo nafasi hii ndio Comment yangu ya mwisho ninapumzika kwenye hili jukwaa kwa muda usiojulikana
Tatizo la Arsenal ni kocha au wachezaji wake mpaka sasa hata humu hakuna anayejua tatizo ni nini na kwangu binafsi Arsenal sio timu kubwa au Big 6 ni kujidangaya kwa upumbavu wa kisenge
Nawaachia timu mashabiki wa Arsenal die hard fan ambao ukweli mnaujua ila kukubaliana na hali halisi hamuwezi
Mmeanza kumpaka matope. Tuliwapa bure huyo.Nakuunga mkono, hakuna kitu mle, angalia mfano Willian yeye pupupupu, kiukweli arsenal ni timu moja ya kipumbavu. Ona sasa imegawa point Sita kwa Aston villa
MKUU MPIRA SIO KITU CHA AJABU SANA, USITUJUMUISHE NA SISI TUNAOPAA NAFASI ZA JUU, ARSENANE NDIO KITU CHA AJABU SANA.Kila nikitaka kusema kitu najikuta nashindwa niseme nini lkn itoshe kusema mpira ni kitu cha ajabu sana
MKUU HALI YAKO IKOJE HUKO NYUMAArsenal's atafungwa kama atapata red card 2 kama Tuesday otherwise Aston villa ajiandae kutatuliwa mark my words saa 11 uje na maneno mengine

MIMI NA ARTETA NANI TAKATAKAHizi ndizo takataka zilizozalishwa awamu hii





