Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Kwahiyo logic yako inakuambia kua mtu akiedit nilichoandika mimi ndiyo mwenye makosa kwa kuandika katika open forum?
Nazungumzia uliosema wanaku-quote.
Hiyo ya kuedit ni case nyingine.
Kwahiyo logic yako inakuambia kua mtu akiedit nilichoandika mimi ndiyo mwenye makosa kwa kuandika katika open forum?
Haina shida tho timu ilipafom wachezaji walijitoa marefa wakaamua matokeo ya mechi. Jmosi ni game na Villa, tujipange.Niliwahi kueleza humu baada ya ushindi wa Liverpool dhidi ya Arsenal, nikieleza VAR tuliona itakuwa sehemu ya haki lakini ndio inazidi kufinya.
Unategemea VAR ikupatie matokeo sahihi huku imekaliwa na Mike Dean, Craig Pawson na mechi akichezesha Jon Moss?
Craig Pawson sio mara ya kwanza, amewahi kumtoa Coquelin kwa controversial red card na kutoa penalty. Southampton wao wamefika mbali na kudai referee aliyecheza mchezo wa Manchester United hawaitaji kumuona akichezesha michezo yao na kusema "Akipangwa kuchezesha sisi hatutopanga kikosi kucheza maana matokeo yatakuwepo tayari, PL itumie hayo hayo."
Hili suala la formation naona alifanya hivyo maana alimuondoa Lacazette na kuingia Gabriel. Wakasimama Hector, Rob, Gabriel na Cédric | Smith, Partey na Xhaka | Saka na Pepe nguvu imekata baada ya red card ya Leno.
Michael Oliver na Sian Massey-Ellis ndio waamuzi pekee waliobaki kwa Arsenal.
Matt Ryan asipokuwa fit mapema kuna siku tutanza na Gabriel au Chambers katika goli, ni wachezaji wenye uwezo wa kudaka.Kikosi kinachoenda Europa kina kila unayemjua isipokua Runarsson na sababu ni inasemwa hana kiwango. Matt Macey alikua hapo miaka yote baada ya Martinez kuondoka akasajiliwa Alex na akawa mbele ya Macey.
Kisha Alex kacheza games kadhaa kaonekana ni kiazi inabidi atolewe kwa mkopo akajikomaze. DoF aliyefika ana kazi kiukweli. Makipa wa Academy wamejumuishwa ila aliyesajiliwa kutoka nje hajajumuishwa.
Hii inamaanisha kiwango chake ni kidogo kuliko waliokuepo academy and yet kuna pesa imetumika hapo.
Mat Ryan awe fit or else tupo matatizoni.
Wachezaji zikitokea hizi controversial wasimamie kauli referee aangalie katika VAR.Haina shida tho timu ilipafom wachezaji walijitoa marefa wakaamua matokeo ya mechi. Jmosi ni game na Villa, tujipange.
Red imeonyeshwa dakika ya 45+2 na hapohapo VAR ikaconfirm ile ni red.Matt Ryan asipokuwa fit mapema kuna siku tutanza na Gabriel au Chambers katika goli, ni wachezaji wenye uwezo wa kudaka.
Wachezaji zikitokea hizi controversial wasimamie kauli referee aangalie katika VAR.
I think the team is up for the fight again lakini kiukweli haya maamuzi ukiyatanzama vizuri yanakuwa na propagated effect huko mbeleni pia.
Straight red card ya Luiz maana yake anakosa mechi tatu, ni ukweli pia kuwa straight red ya Leno ambaye naye atakosa mechi 3 ni matokeo ya ile red ya Luiz.
Kutokuwepo Luiz kunatunyima depth kwenye defence yetu wakati Leno ndio kipa namba 1 na tegemeo kwa Arsenal, in fact tumeadhibiwa kwa mechi 4 mfululizo.
Luiz atakosa mechi 1 pekee,ila ndugu zangu kesho tutakuwa na kikosi kikali sana but kipa kesho ni nani?Nilijipiga ban ya mechi mbili, lakini imenibidi nitoke kwenye ban ili kurekebisha upotoshaji katika hii post ya gspain. I always respect your contributions here, I think it my first time I challenge you. Sio kweli kwamba every straight red goes with a three match suspension, gspain, it depends on the gravity of the offense. Luiz will serve one match suspension, so is Leno. Tupo hapa kuelimishana




Uko sahihi mkuu, si kila red card ina 3 match suspension kama ni dissent red card ni only two matches, including mechi husika.Nilijipiga ban ya mechi mbili, lakini imenibidi nitoke kwenye ban ili kurekebisha upotoshaji katika hii post ya gspain. I always respect your contributions here, I think it my first time I challenge you. Sio kweli kwamba every straight red goes with a three match suspension, gspain, it depends on the gravity of the offense. Luiz will serve one match suspension, so is Leno. Tupo hapa kuelimishana
Uko sahihi mkuu, si kila red card ina 3 match suspension kama ni dissent red card ni only two matches, including mechi husika.
Nikiri wakati natoa comment yangu, sikujiridhisha kama zilikuwa considered kama dissent fouls ama violent ones.
Asante kwa masahihisho mkuu mysterio
Luiz atakosa mechi 1 pekee,ila ndugu zangu kesho tutakuwa na kikosi kikali sana but kipa kesho ni nani?![]()
Kama ni hvyo Mungu ashukuriweNadhani Ryan anaweza kuanza, he trained yesterday and today
Thanks you are a gentleman
Auba awe fit au la mimi naona Pepe aanze. Huyu Odegaard inabidi apate tu game time huku huku kwenye ligi, hatupo FA wala Carabao so haiwezekani kupretend kwamba ataangaliwa katika games less important pa kuangaliwa ni huku huku.Here we go again
Kwa luiz anakaa gabi au Pablo
Kwa Leno Matty
Pepe likely to start. Ikitokea anakaa bench bas Auba ndan
Kama sio Odegard bas Rowe mwenyewe
Bukayo as usual
Partey na Xhaka.
Hii game tunaingia moto sana, baada ya kuzurumiwa points zetu kwa mbwea wale
WE KENGE, UNABISHANA NA VAR!!! UNABISHANA NA REFA AMBAYE YUKO PALE KWENYE NYASI UWANJANI WAKATI WEWE UKO BUZA!!Hata baada ya kuchwa, bado mtamlaum Luiz kwa yaliyo tokea jana?
Ukiangalia replays zinaonesha ni Willian Jose ndiye aligonga goti la Luiz wakati anataka kushoot.
Technically hapakuwa na attempt yoyote from Luiz ya kufanya tackling whether intentionally or unintentionally.
Hata km ingekuwa ni technical foul bado Luiz hakustahili red card sabab hakuwa na nia ya kufanya hiyo foul.
Labda ninachokiona hapa Luiz anahukumiwa kwa historia na fans wa Arsenal (reputational judgement) lakini kwa issue ya jana tena kwa zama hizi za VAR nashangaa hakuna anayemlaumu refferee wala VAR official.
UNAWEZA KUMPIGA VILLA WEWE, UMEMSAHAU BARKLEY KWENYE ZILE GOLI TATU?..NA LEO YUPOKwa leo niseme 'yaliyopita yabaki huko, tuangalie mbele'. Kesho tujitahidi kumpiga Villa.
COYG








Sidhani kama naweza kukulaumu mkuu, nikitazama ID yako na kisha avatar vinatafakarisha. Yaan ARV uchanganye na bangi, I just feel sorry for you!!WE KENGE, UNABISHANA NA VAR!!! UNABISHANA NA REFA AMBAYE YUKO PALE KWENYE NYASI UWANJANI WAKATI WEWE UKO BUZA!!
AKILI ZA ARSENAL BHANA. MSOME ZILE KANUNI ZA MPIRA. "....akiwa katika nafasi ya kufunga goli umgonge kwa njia yoyote, bahati mbaya au makusudi adhabu haiepukiki"
Sheria zilifanyiwa marekebisho sheria iliyoanza na msimu 20/21. EnaelezaWE KENGE, UNABISHANA NA VAR!!! UNABISHANA NA REFA AMBAYE YUKO PALE KWENYE NYASI UWANJANI WAKATI WEWE UKO BUZA!!
AKILI ZA ARSENAL BHANA. MSOME ZILE KANUNI ZA MPIRA. "....akiwa katika nafasi ya kufunga goli umgonge kwa njia yoyote, bahati mbaya au makusudi adhabu haiepukiki"
WE KENGE, UNABISHANA NA VAR!!! UNABISHANA NA REFA AMBAYE YUKO PALE KWENYE NYASI UWANJANI WAKATI WEWE UKO BUZA!!
AKILI ZA ARSENAL BHANA. MSOME ZILE KANUNI ZA MPIRA. "....akiwa katika nafasi ya kufunga goli umgonge kwa njia yoyote, bahati mbaya au makusudi adhabu haiepukiki"