Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bellerin anapaswa kumsimamisha Grealish if we have to win this
Bellerin huyu
Lvphqx3.jpg
 
Hiki kikundi cha ngoma za kienyeji kikifungwa hua naskia raha sana.
 
Arsenal kwa sasa itoshe kusema inatosha ,tunaishi kwa historia na kujiita Big 6 ila kiukweli hatuna utofauti na Southampton au Leeds United, hata hilo jina la Big 6 alitakiwa Leicester achukue nafasi yetu Trust me Arsenal ni historia imekuwa hata uefa atoe top 8 ya kufuzu Champions league basi hatutaipata hyo nafasi hii ndio Comment yangu ya mwisho ninapumzika kwenye hili jukwaa kwa muda usiojulikana
Tatizo la Arsenal ni kocha au wachezaji wake mpaka sasa hata humu hakuna anayejua tatizo ni nini na kwangu binafsi Arsenal sio timu kubwa au Big 6 ni kujidangaya kwa upumbavu wa kisenge
Nawaachia timu mashabiki wa Arsenal die hard fan ambao ukweli mnaujua ila kukubaliana na hali halisi hamuwezi
Sisi tulipomtimua Lampard mlitucheka na wengine wenu mkasema apewe muda kwa kejeli. Vumilia tu Arteta apewe muda aijenge timu ya ushindani
 
Kwa comment yako imebidi nijibu,kweli kabisa Arsenal haijitambui na haijui itakacho that's the truth, Arteta katupa makombe 2 yes that's fine ila tangia aifundishe Arsenal kuanzia January 2020 hadi sasa February 2021,nafasi yake ya juu kwa Arsenal ni ya 8 kama viongozi hawana vision ,mimi kama shabiki kwa nini nipoteze hela zangu kibanda umiza kuangalia mechi za Arsenal?

Kocha bora mnayesema apewe muda katika mechi 23 kafungwa 10
 
Arsenal kwa sasa itoshe kusema inatosha ,tunaishi kwa historia na kujiita Big 6 ila kiukweli hatuna utofauti na Southampton au Leeds United, hata hilo jina la Big 6 alitakiwa Leicester achukue nafasi yetu Trust me Arsenal ni historia imekuwa hata uefa atoe top 8 ya kufuzu Champions league basi hatutaipata hyo nafasi hii ndio Comment yangu ya mwisho ninapumzika kwenye hili jukwaa kwa muda usiojulikana
Tatizo la Arsenal ni kocha au wachezaji wake mpaka sasa hata humu hakuna anayejua tatizo ni nini na kwangu binafsi Arsenal sio timu kubwa au Big 6 ni kujidangaya kwa upumbavu wa kisenge
Nawaachia timu mashabiki wa Arsenal die hard fan ambao ukweli mnaujua ila kukubaliana na hali halisi hamuwezi
Ahh, mkuu eee sio poa bhana.
 
Ukweli siku zote uponya ongera kwa kuongea ya moyoni
 
Nakuunga mkono, hakuna kitu mle, angalia mfano Willian yeye pupupupu, kiukweli arsenal ni timu moja ya kipumbavu. Ona sasa imegawa point Sita kwa Aston villa
Mkuu uliniomba tuwe pamoja mpaka mwisho wa show, umeiona show?
 
Back
Top Bottom