Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Arsenal kwa sasa itoshe kusema inatosha ,tunaishi kwa historia na kujiita Big 6 ila kiukweli hatuna utofauti na Southampton au Leeds United, hata hilo jina la Big 6 alitakiwa Leicester achukue nafasi yetu Trust me Arsenal ni historia imekuwa hata uefa atoe top 8 ya kufuzu Champions league basi hatutaipata hyo nafasi hii ndio Comment yangu ya mwisho ninapumzika kwenye hili jukwaa kwa muda usiojulikana
Nakuunga mkono, hakuna kitu mle, angalia mfano Willian yeye pupupupu, kiukweli arsenal ni timu moja ya kipumbavu. Ona sasa imegawa point Sita kwa Aston villa


