Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nawasalimia tu, tena ukizingatia salam haitii mimba.

Kumekucha salama hapo ulipo?
 
Leno will be replaced by Mat Ryan who has made a timely return to training following injury, whilst Pablo Mari is expected to replace the absent Luiz at centre back.

Kieran Tierney is still on the sidelines with a leg injury, which means Cedric Soares will continue at left-back.

Granit Xhaka and Thomas Partey will continue their partnership in central midfield, with Bukayo Saka and Nicolas Pepe also likely to continue.
 
Red ya Luiz iliinfluence matokeo ya mechi nzima kabla ya red game ilitawaliwa na Arsenal.

Red ya Bednarek haikua muamuzi wa matokeo ya ile game as United ilishaonyesha kudominate game.

Ikitokea hiyo red ikafutwa hiyo itamaanisha game nzima Arsenal walionewa so ili isionekane wameonewa inabidi hiyo red isifutwe.
Malalamiko fc.
 
Plastiki la cheltako linaniquote limevimbisha mdomo na hapo lina mimba ya Arsenal ya bao tatu.

Jikaze utajifungua hivi karibuni tu.
Angalia hili takataka sasa unataka kusema hizo bao tatu haziwezi kurudi?
 
Kama hivyo basi mungu ashukuruwe.
Unataka uniambie mida hii ningekua nakata vitunguu na kijola changu, sio?

Mungu anakuona
Mgekuwa wanawake ollachuga na kitoabu, mngekuwa kama ngoma ya kijiji, kila mtu anajipigia kwa wakati wake, mnavyopenda kuzurura kwenye majukwaa ya wanaume
 
Hiyo game wameshafungwa kabla haijachezwa, haina hata haja ya kubana pumbu.

Asaniali leo anafungwa.
Narudia tena "Asaniali leo anafungwa" yani hata nyumba ya urithi naweka bondi.

Pole haiuzwi, nitawaletea.
Leo ndio utajua ujui
 
Arsenal's atafungwa kama atapata red card 2 kama Tuesday otherwise Aston villa ajiandae kutatuliwa mark my words saa 11 uje na maneno mengine
 
Arsenal's atafungwa kama atapata red card 2 kama Tuesday otherwise Aston villa ajiandae kutatuliwa mark my words saa 11 uje na maneno mengine
We have these fools officiating our match today:
  • Referee: Chris Kavanagh
  • Line 1: Daniel Cook
  • Line 2: Constantine Hatzidakis
  • Fourth official: Darren England
  • VAR: David Coote
  • Assistant VAR: Sian Massey-Ellis
 
Sian Massey-Ellis imeisha hiyo. For the first time Arsenal inasimamiwa na wawili katika VAR.
 
Arsenal XI: Ryan, Bellerin, Holding, Gabriel, Cedric, Thomas, Xhaka, Saka, Smith-Rowe, Pepe, Lacazette.

Substitutes: Ceballos, Odegaard, Willian, Runarsson, Aubameyang, Chambers, Pablo Mari, Elneny, Martinelli.
 
Safi
 
Back
Top Bottom