Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Screenshot_20210123-172417_All%20Goals.jpg
 
We na we unaandika kama umepakwa maziwa mkononi.

Bayern inakopa wachezaji mno. Inachukua treble msimu uliopita zaidi ya wachezaji 4 wa first 11 ni mkopo.

Msimu umeisha, amekopa tena wachezaji zaidi ya 3 wale wa kwanza kawarudisha. Miongoni mwa waliokopwa msimu huu ni Douglas Costa, kwa timu yenu mna mchezaji RW kama Costa?

Kingine kukopa ni namna ya kudeal na financial fair play, kama hauelewi ffp ni nini, tafuta mtu akuelezee.

Ila kweli mkuu, Arsenal lazima awe makini asijekutana na shoka la FFP,

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hii nayo ni hoja japo sijui wenzetu ulaya wanaichukuliaje. Wachezaji wa Amerika ya kusini kutokana na street football zao wanakuwa fighters kweli kweli hususan mataifa kama Argentina na Chile. Brazil inawahusu lakini wao wanalo tatizo la msingi la kushindwa kuji-manage hususan maisha yao off the pitch.

Kama hilo la kuwa ni Mu-Amerika ya kusini lina uzito wowote ule kwa wenzetu basi buendia might be a best option in the summer
Nakubali mkuu
 
Kwa mara ya kwanza Southampton kaifunga Arsenal kwenye FA.
kwenye ligi watapasuka tu, hapo ndipo kocha anapokera, sijui dharau huwa anazitoa wapi! yaani ana-act as if tupo UEFA final.
 
We na we unaandika kama umepakwa maziwa mkononi.

Bayern inakopa wachezaji mno. Inachukua treble msimu uliopita zaidi ya wachezaji 4 wa first 11 ni mkopo.

Msimu umeisha, amekopa tena wachezaji zaidi ya 3 wale wa kwanza kawarudisha. Miongoni mwa waliokopwa msimu huu ni Douglas Costa, kwa timu yenu mna mchezaji RW kama Costa?

Kingine kukopa ni namna ya kudeal na financial fair play, kama hauelewi ffp ni nini, tafuta mtu akuelezee.
Southampton hahaha
Pigaaa mbuzi haoooo...
 
Back
Top Bottom