Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ila ukweli aseno imekwisha.
Kutoka kua na winga teleza kama Pires mpaka kua na utopolo kama Saka!
Kweli maisha yanakimbia balaaa.
Nimeona aisee. Sasa hapa kiukweli Emile na Saka wajiandae.
 
Timu inacheza mashudu sana Willian,Pepe, Nketiah hawa watu hawastahili kuwa Arsenal next season Mamamanina

Arsenal ikubali ilifanya makosa kwenye usajili na hii mechi haitaisha salama naanza kunusa hatari

Tukienda half time 1 bila ,second half tunaweza fanya jambo but mpaka sasa sioni matumani
 
Tunasubiri maajabu ya second half kama Coach atafanya mabadiriko yatakayo tu favor.

Kipindi hiki cha kwanza naona Soton wametupigia mpira mwingi ambao umetufanya Tufanye makosa eneo la nyuma hadi kuruhusu beki wetu kujifunga.

COYGs 💪💪💪💪
 
Aliyeuliza Emile hua anafanya nini ndiyo hicho ambacho huoni waliopo wakikifanya.

Anyway, kati ya Xhaka au Elneny mmoja inabidi atoke. Kule mbele Pepe, Willian na Nketiah inabidi watoke. Ingawa kitakwimu Pepe ana chance bado.

Forward minded tulionao ni Thom na Saka. Arteta atakua anajuta kutomuweka Emile na Tierney kwenye selection. These are our chance creators yeye kawatupa kabisa nje ya kikosi.

Mpira ni kitu simple. Ni kwamba ukiwa na Emile, Saka, Tierney na Laca hiyo mechi unashinda. Kucomplicate vitu ni kutaka mpira uonekane mgumu.
 
You are very right

Sioni tukishinda mechi hii kama kocha hatafanya mabadiriko hapo mbele.
 
Aliyeuliza Emile hua anafanya nini ndiyo hicho ambacho huoni waliopo wakikifanya.

Anyway, kati ya Xhaka au Elneny mmoja inabidi atoke. Kule mbele Pepe, Willian na Nketiah inabidi watoke. Ingawa kitakwimu Pepe ana chance bado.

Forward minded tulionao ni Thom na Saka. Arteta atakua anajuta kutomuweka Emile na Tierney kwenye selection. These are our chance creators yeye kawatupa kabisa nje ya kikosi.

Mpira ni kitu simple. Ni kwamba ukiwa na Emile, Saka, Tierney na Laca hiyo mechi unashinda. Kucomplicate vitu ni kutaka mpira uonekane mgumu.
Willian Pepe na Nketiah hawatakiwi kuwepo Arsenal next season ,timu imepwaya kama mlenda hivi
 
Back
Top Bottom