Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Not too fast bro.

Arsenal inamiliki mpira. Au niseme inacheza ikilenga kumiliki mpira. Ikiwa inafanya hivyo akitokea mchezaji mwenye attitude ya kusonga mbele ataonekana assisstor mzuri.

Ndiyo kinachotokea kwa Emile.

Odegaard hizo games tano unazompa naamini atakuacha njia panda ama umuongezee mechi au ukubali kua he is good. Skills zake zinampa uwezo mkubwa wa kuoffer something ndani ya hizo games tano.

Magoli anayotamani kufunga Pepe utamuona huyu atakavyofanya.
umesema kweli kwasasa tunamiliki sana mpira, tulikosa mtu tu wa kwenda mbele zaidi, rowe hiyo kazi anaiweza,kwasasa viungo wanaopeleka mipira mbele kuna partey, na smith ,

xhaka ,ceba, na elneny sio wabunifu kabisa kwa kupeleka mipira mbele, nilikuwa naangalia juza partey mipira yake dhid ya newcastle , 90% ni forward pass tu,
 
Jumanne tunakutana nao kwenye ligi. Unadhani tutarisk watu wote hao?
wengi hapo kumbuka hawakucheza juz
dhid ya newcastle, jana arteta kasema atapanga strong team, mtu kama pepe, willian, belle,chamber, gabriel, martinel, niles, elney aliingia sub,
 
wengi hapo kumbuka hawakucheza juz
dhid ya newcastle, jana arteta kasema atapanga strong team, mtu kama pepe, willian, belle,chamber, gabriel, martinel, niles, elney aliingia sub,
Baba apange anachopanga kikubwa southampton apasuke. Waliotufunga wote inabidi waonje kipigo. So apange anachoona ni sawa.
 
Nitaomba mnisaidie,up to now I still see Smith Rowe as an over-hyped player, sijakiona hicho mnachokiona kwake, bado sana, labda atumie nafasi hiyo kujipasha sanaaaa.
kwa uchezaji wa smith rowe itakuchukua muda kujua kipaji chake, binafs mimi nilikuwa napingq kupewa nafas, maana nilizoea wachezaji no.10 wenye udambwi udambwi, kumbe bhana...smith ni type ya mchezaji asiye na mambo mengi......mfatilie, akiwa na mpira anaachia ,anafanya movement.....hana mambo ya turnging, sijui visigino.....

angalia dhidi ya chelsea, alipopewa mpira faster hakufaanya ujinga zaidi alimpa saks, ndio maana kila siku ana percentage kubwa ya pass accuracy
Nitaomba mnisaidie,up to now I still see Smith Rowe as an over-hyped player, sijakiona hicho mnachokiona kwake, bado sana, labda atumie nafasi hiyo kujipasha sanaaaa.
Tangu mechi dhidi ya Chelsea, West Brom na leo hii dhidi ya Newcastle United .... jinsi anavyotafsiri ufanisi wa " THIRD MAN RUNNING " ananivutia sana, ni ngumu sana kukabiliana na mikimbio ya namna hiyo na katika mechi zote hizo tatu nimeona akifanya mara mara

Ona hiyo picha yupo katikati ya Saka na Lacazette. Pasi ya Saka inaenda kwa Lacazette na yeye anakimbia kwenda kwenye Box la Newcastle kupokea pasi kwa Lacazette. Huo mkimbio ndio ' Third Man Running ' . Kaweka gambani halafu kamalizia kwenye kona ya chini kulia kwa Golikipa . Brilliant !!!
images.jpg
 
We na we unaandika kama umepakwa maziwa mkononi.

Bayern inakopa wachezaji mno. Inachukua treble msimu uliopita zaidi ya wachezaji 4 wa first 11 ni mkopo.

Msimu umeisha, amekopa tena wachezaji zaidi ya 3 wale wa kwanza kawarudisha. Miongoni mwa waliokopwa msimu huu ni Douglas Costa, kwa timu yenu mna mchezaji RW kama Costa?

Kingine kukopa ni namna ya kudeal na financial fair play, kama hauelewi ffp ni nini, tafuta mtu akuelezee.
ataelewa wapi huyo, Arsenal inajipanga summer kusajiri AM, wa bei nzuri, sasa hii january huwez kununua kwa bei ghari....Aour, buendia , summer watashuka bei, na odegaard akifanya vzr huenda akabaki,

summer kuna mustafi, luiz, n.k lazima wanasepa tutasjiri tu
 
✍️
Ni kweli arsenal wanahitaji addition asa kwenye nafasi ya utengenezaji (#playmaking) na hili swala hata arteta wamezungumza
✍️
Swala lililopo kwa sasa ilikuwa ni kuaffload baadhi ya wachezaji kuweka wages bill sawa kabla kufanya sajili kitu kimefanyika tayari
✍️
Niliwahi kusema january huwa sio dirisha la kimkakati bali ni kuziba mapengo tu penye uhitaji zaidi kwa kipindi cha ligi kilichosalia
✍️
deals nyingi january huwa ni loans(mikopo) sajili za pesa huwa ni chache sana
✍️
ndio maana arsenal kwa sasa wapo sokoni kutafuta playmaker atleast on loan hii huwa inafanyika kama temporary solution
✍️
ili dirisha la kimkakati summer wafanye sajili yenye tija na permanent transfer watu kama kina Aouar ambao kuwatoa lyon kwa sasa ni ngumu
✍️
Arsenal anatajwa kwa buendia ndio lakini possibility ni ndogo sioni arsenal ya kutoa price tag tajwa ya buendia january hii
✍️
kuna martin odegaard huyu ni promising player bado ana future ndefu kiuchezaji ila hayupo mipango zidane
✍️
na yupo sokoni kwa deal la mkopo sioni tatizo Arsenal kumsajili kama temporary solution kwa kipindi hiki team inahitaji depth
✍️
kuna watu watataja yupo smith rowe lakini ukweli ni kwamba rowe hawezi cheza game zote anahitaji rotation soka kuna kitu kinaitwa fatigue
✍️
hvyo kama arsenal watasajili aina tatizo kwasasa na ndio deal liko open kiasi
✍️
huyu martin ni playmaker sio type ya wachezaji kama martinell au saka sina maana kina saka wabaya ila attributes kiuchezaji
✍️
kunatofauti sana kiasi kati ya playmaker na aina nyingine ya wachezaji binafsi martin ni best option kwa aina ya deals za january, Japo buendia tulimuhitaji , shida hiyo bei ya paun mil40 kwaa sasa ni ngumu...ukizingatia summer aatapatikana kwa paun mil 20-25
 
Mama mama mama mamaa Southampton wabayaaaa!
Leo munavuliwa ubingwa.
Southampton
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fstatic.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Fte6%2F1.5%2F16%2F1f3df.png&hash=f9d474c8a88d9da1507947d8fc5e2c6a" data-type="image" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />
St Mary's Stadium
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fstatic.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ft17%2F1.5%2F16%2F1f3c6.png&hash=51a2389ff2f7acab174ab3414e5f7ae6" data-type="image" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />
@EmiratesFACup fourth round
Muda ni SAA 15:15

Kuna cha kututisha kwa jinsi timu inavyocheza?
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fstatic.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ftb5%2F1.5%2F16%2F1f35f.png&hash=47db2a38be36ee130434bb56da18072f" data-type="image" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />
 
kwa uchezaji wa smith rowe itakuchukua muda kujua kipaji chake, binafs mimi nilikuwa napingq kupewa nafas, maana nilizoea wachezaji no.10 wenye udambwi udambwi, kumbe bhana...smith ni type ya mchezaji asiye na mambo mengi......mfatilie, akiwa na mpira anaachia ,anafanya movement.....hana mambo ya turnging, sijui visigino.....

angalia dhidi ya chelsea, alipopewa mpira faster hakufaanya ujinga zaidi alimpa saks, ndio maana kila siku ana percentage kubwa ya pass accuracy

Tangu mechi dhidi ya Chelsea, West Brom na leo hii dhidi ya Newcastle United .... jinsi anavyotafsiri ufanisi wa " THIRD MAN RUNNING " ananivutia sana, ni ngumu sana kukabiliana na mikimbio ya namna hiyo na katika mechi zote hizo tatu nimeona akifanya mara mara

Ona hiyo picha yupo katikati ya Saka na Lacazette. Pasi ya Saka inaenda kwa Lacazette na yeye anakimbia kwenda kwenye Box la Newcastle kupokea pasi kwa Lacazette. Huo mkimbio ndio ' Third Man Running ' . Kaweka gambani halafu kamalizia kwenye kona ya chini kulia kwa Golikipa . Brilliant !!!
View attachment 1684134
Huyo ni wa kawaida tu, Kiufupi hana sumu .
Mutakuja kumkataa wenyewe huyo.
 
Arsenal team out. Pepe and Willian start. Cedric at left-back. Martinelli in too, as is Nketiah

Both Runarsson and Ryan on the bench.
 
Arsenal XI vs. Southampton: Leno; Bellerín, Holding, Gabriel, Cedric; Elneny, Xhaka; Pepe, Willian, Martinelli; Nketiah. Arsenal subs: Runarsson, Ryan, Chambers, David Luiz, Maitland-Niles, Partey, Willock, Saka, Lacazette
 
Back
Top Bottom