OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
MapemaaaaaaSoton leo atahalibu hali ya hewa humu ndani.
MapemaaaaaaSoton leo atahalibu hali ya hewa humu ndani.








Hakika, sio utupolo anaocheza WillianOdegarrd anawafaaa.
Yeye ndio muarubaini wa tatizo lenu.
Kwa mara ya kwanza Southampton kaifunga Arsenal kwenye FA.
kelele nyingi mwisho wako next wkend, ukirudisha porojo humu tena ntakuona wewe kidume
Ubingwaaa huooooo umepepeaaa![]()
Alafu kikiwaganda kina waganda kweli.kijiti kimerud rasmi![]()
Una miaka mingapi hujanyanyua kikombe?Ukizingatia hili ndio kombe lao pekee wanalo tegemega.
Mwaka huu tuwakabizi kombe la uji.
Una miaka mingapi hujanyanyua kikombe?
Huyu demu kabanaa dak 85 zotee....dak ya 86 kaachiaaa pwaaaa ikapenyaaaaSouthampton kala tunda kimasihara![]()




