Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwani ni asernal gani munayo sema itatufunga tarehe 30 nihi hii inayotoka FA au kuna nyingine mmeihifadhi
 
Yani Artete anapumzisha watu ili wakacheze epl then end result ni ipi wakati EPL hatufiki kokote. Hayuko serious. Wakati klopp na PEP wanachezesha full squad ata against league one clubs kwene game za FA
mitano tena
 
Zimebaki dakika 2, sioni tukifanya maajabu ya kupindua matokeo haya.

Arsenal yetu tukiri wazi inahitaji namba 10 mbunifu.

So sad bingwa mtetezi tunatolewa mashindanoni😭
 
Yani Artete anapumzisha watu ili wakacheze epl then end result ni ipi wakati EPL hatufiki kokote. Hayuko serious. Wakati klopp na PEP wanachezesha full squad ata against league one clubs kwene game za FA
Acha kulialia nyau bro
 
Our season is over!we are not going to win any trophy in this season with Willian Pepe Nketiah Never

Pepe kapata faulo dk ya 84 ila alichokipiga tunamuachia Mungu

J4 tukifungwa tena itakuwa aibu kubwa sana ya kimatako, FA ilikuwa ndio kombe letu la kulipigania ila Arteta akili zake anazijua mwenyewe kapumzisha watu wa maana kwa ajili ya EPL()kombe ambalo hatuwezi kulichukua
 
Arteta ni mpumbavu Southampton kaleta full squad, kocha wao anajua nini anakitaka ila Arteta hajui kipaumbele chake ni nini
 
Our season is over!we are not going to win any trophy in this season with Willian Pepe Nketiah Never

J4 tukifungwa tena itakuwa aibu kubwa sana ya kimatako, FA ilikuwa ndio kombe letu la kulipigania ila Arteta akili zake anazijua mwenyewe kapumzisha watu wa maana kwa ajili ya EPL()kombe ambalo hatuwezi kulichukua
Kwa nini unasema hamuwezi kubeba EPL? Mpaka sasa mpo nyuma alama 13 na anayeongoza ligi ( Manchester United) na wote tumebakiza michezo 19, huoni kama hapa linaweza kutokea lolote?

Kusema ukweli Arsenal inahitaji watu ili iweze kurudi katika ushindani kwa sasa msiweke matarajio makubwa sana. Lengeni kupata nafasi ya Europa.
 
Europa umesahau

Back
Top Bottom