Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Very clear message to Maitland Niles after how bad he was v Palace with that selection
Shati Dean Henderson. Akajidai eti amerudi ili agombee namba na De Gea Ole akajichanganya kumpanga, mlilambwa tatu hadi leo Ole hana hamu na yule bwana.Huyo ni shati ndio maana wakaona wale mpunga mapema.
Absurd. Hatoi game time alitarajia kiwango kiweje? Cedric na Niles ni kama hawaonwi ni Bellerin tu. Niles anatakiwa na Atletico amuachie aende.Very clear message to Maitland Niles after how bad he was v Palace with that selection
Willian ni miyeyusho recently. Tatizo ni kwamba stats zinambeba, yaani chance creators wakubwa kwa Arsenal ni Tierney wa kwanza na Willian anafuatia.Willian at 10. Cedric makeshift LB...
leo acha apewe nafasi, sema ana mambo mengi sana aisee...Willian ni miyeyusho recently. Tatizo ni kwamba stats zinambeba, yaani chance creators wakubwa kwa Arsenal ni Tierney wa kwanza na Willian anafuatia.
Sasa utamtupaje?
Nimeona aisee. Sasa hapa kiukweli Emile na Saka wajiandae.Castr soton wamepanga full mkoko ule ule wa epl....halafu jtano tunakutana nao...
I guess this summer ataondoka.Absurd. Hatoi game time alitarajia kiwango kiweje? Cedric na Niles ni kama hawaonwi ni Bellerin tu. Niles anatakiwa na Atletico amuachie aende.
Mimi nahisi ingekuwa poa angeaza Lacca but kocha anajua zaidiKwa hiki kikosi sioni ubaya kwenye defense ila naona tatizo kwenye attacking.
Tulia ufundishwe mpira. Hao jamaa tulikua na red na tukiwa hovyo hovyo lakini tulitoka nao suluhu.Kwa kikosi hiki sioni aseno anachomoka vipi hapo?
Mpaka dakika ya 87 Soton 2 - 0 Washika manati.
Nahisi anahofia majeruhi si unajua jnne tunakutana nao tena. So Soton kaamua kuanza kutubana huku huku epl be damned.Mimi nahisi ingekuwa poa angeaza Lacca but kocha anajua zaidi