Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumecheza games tatu tukiwa na red.

Games mbili tumepata suluhu moja tumepasuka.

Hii squad haina pumzi wala stamina ya kubaki kumi na kuinflict same damage kwa mpinzani.

Maximo akiwa kocha wa Taifa Stars nimesahau tulikua tunacheza na timu gani ila mchezaji mmoja akapata jeraha akatolewa kisha Maximo hakuingiza sub mpaka dakika zaidi ya 8 zilipoisha.

Baadaye kwenye post interview akaulizwa kwanini ilikua hivyo akajibu alitaka kuona timu itahold vipi wakiwa pungufu uwanjani.

Watu 10 dhidi ya 11 ni fair odds sielewi ni vipi tunashindwa stand our ground. Unaswitch players badala ya mbele kua watatu unaacha wawili au nyuma badala ya kua wanne unawaweka 3. Rahisi mbona? Ila kwakua timu morali inatia huruma ndiyo maana inakua kama tumeonewa.

3 4 3 ya Arsenal inamilikiwaje mpira na 4 4 2 ya Southampton? Only if Arsenal wameamua kutafuta magoli na siyo kupossess. Mentality hii hii tunaenda nayo mbele.
Hivi kweli unalinganisha epl na tanzania???
Mchezaji akipewa red card kwenye epl inagharimu hadi mechi zote hatakazomiss.
Hawa wazungu mkibaki 10 tu hata kama unacheza na crystal palace utaomba mpira uishe.

Hizi card nyekundu zinatugharimu sana sana coz hata mbinu za kocha zinabadilika, anachokuwa anawaza ni kudefence sio tena ushindi.
 
Dear arsenal funs,,,,

Mna dhihaka Sana grp za watu , Sina maana ya kuwakebehi, just kuwakumbusha tu ! Mmepoteana kiasi kwamba kuwakebehi Ni dhambi!

Mna mechi ngumu Sana Leo dhidi ya mr Carlo, kiroho Safi nawatakia kila la kheri !

Ikiwezekana kikombe hiki kiwaepuke ,,, !
 
Confirmation from Arsenal that Pierre-Emerick Aubameyang misses tonight's match with a calf injury.

I am skeptical if this is a reason for PEA not being in the squad today, because he doesn’t appear in the injury list. I guess this has something to do with players who are not contributing to the team
 
Screenshot_20201219-205409_All%20Goals.jpg
 
Back
Top Bottom