Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

HAKUNA MMILIKI AMBAYE ATAMVULIA KOCHA AMBAYE KAPEWA TIMU INA KILA KITU HALAFU AONE TIMU IKO MKIANI IKIGOMBANIA KUTOKUSHUKA DARAJA!,NARUDIA TENA HAYUPO!

Arsenal Tatizo si kocha bali ni MMILIKI,Ntaendelea kushikilia huu msimamo wangu mpaka naingia kaburini
MKUU ACHA UONGO HAYO MANENO "timu ina kila kitu" YAFUTE HARAKA! YAANI SAKA,PEPE,CEBA,NKETIAH,LACA NDIO KILA KITU!!! KWELI MAAJABU HAYAISHI DUNIA HII.
 
Arteta oyeee next game na chelsea mtapata sare then na city mtapasuliwa
 
MKUU ACHA UONGO HAYO MANENO "timu ina kila kitu" YAFUTE HARAKA! YAANI SAKA,PEPE,CEBA,NKETIAH,LACA NDIO KILA KITU!!! KWELI MAAJABU HAYAISHI DUNIA HII.
Mkuu mbona huwa unawaandama tu Arsenal humu..why not Chelsea,Liverpool n.k?
 
  • Thanks
Reactions: ARV
Weka msimamo mkuu
SAMAHANI AMBAO TIMU ZENU HAZIONEKANI HAPA..MTAKUWA MKIANI HUKO..
Screenshot_20201219-223550_All%20Goals.jpg
 
Reno ndio tatizo kubwa.... golini hakuna mtu.

Matinez Aliibeba sana Asernal

Tujikumbushe
  • kipa wa Unai alikuwa Reno
  • Alipofukuzwa Unai , Reno akaumia
  • Matinezi alipoingia golini Asernal ilifanya vizuri sana,
1. clean sheets
2. FA cup
3. Community shield
4. Europa league

  • Reno kupona
  • Matinezi kauzwa, Aston villa imepaaa
  • Reno na Asernal yao imegeuka villa ya mwaka jana

Kifupi kama Ateta ataendelea na Reno nayeye atafukuzwa kama Unai.
 
Arsenal kuna mchezaji anaitwa Reno?
 
duuh! mnachezea mbupu qum*make
MKUU ACHA UONGO HAYO MANENO "timu ina kila kitu" YAFUTE HARAKA! YAANI SAKA,PEPE,CEBA,NKETIAH,LACA NDIO KILA KITU!!! KWELI MAAJABU HAYAISHI DUNIA HII.
Hii ndo shida ya kukurupuka Kutoka kunya na kuwahi kukomenti bila kusoma maelezo!

Mimi nilichomaanisha hapo ni kwamba hayo matokeo hata mmiliki anayafurahia ndo maana mpaka dakika hii Arteta bado anadunda hapo Arsenal!

Sababu ya mmiliki kuyafurahia matokeo anafahamu kabisa hakuna chochote alichokifanya kwenye timu hivyo haimuumi!,na ndo maana nikasema "Hakuna mmiliki ambaye anajua ametoa pesa za usajili wa wachezaji wazuri halafu timu ifanye vibaya aendelee kumvulia kocha",HAYUPO!

Hivyo haya matokeo hata mmiliki anayafurahia na ndo maana Bado Arteta bado anadunda maana anajua hata akimfukuza Arteta yeyote atakayekuja mambo yatakuwa haya haya!

ARTETA HAONDOKI LEO WALA KESHO HAPO ARSENAL,BADO YUPO YUPO SANA KWA MUJIBU WA EDU

We unadhani Edu hii jeuri ya kusema Arteta bado yupo sana hapo Arsenal anaipata wapi?,Hivi tajiri kama Abramovich utampelekea huu usenge akuvumilie?,Tajiri gani aliyeweka pesa yake kwenye timu ambayo inampa faida umpelekee huu usenge?

TATIZO LA ARSENAL NI MMILIKI SIYO KOCHA.
 
Back
Top Bottom