Na next ni Chelsea.
Nipo Soliwaya. Mbele ya Makambako. Nikitaka kulima avocado niandae shilingi ngapiUkifika nitafute, nipo Shambani na Lima avacodo
PanuaGunners chama kubwa!!
Ajax ilibidi ipate red ngapi ili chelsea aonekaneHivi kweli unalinganisha epl na tanzania???
Mchezaji akipewa red card kwenye epl inagharimu hadi mechi zote hatakazomiss.
Hawa wazungu mkibaki 10 tu hata kama unacheza na crystal palace utaomba mpira uishe.
Hizi card nyekundu zinatugharimu sana sana coz hata mbinu za kocha zinabadilika, anachokuwa anawaza ni kudefence sio tena ushindi.
#COYG
IS NOT OVER UNTIL IT'S OVER,
Leo tunarudi uwanjani tena, nasema hivi leo hawataamini
[emoji23]Nyie TAKATAKA mna bahati sana wale ndugu zenu wa chini nao hawafanyi vizuri. Yaan ingekuwa wanashinda shida saizi nyie ndio mngekuwa nafasi ya 20.
[emoji23]Tafadhari fungua nafsi shek ozil hali yetu mbaya sanaaa[emoji120][emoji24]View attachment 1654605
Punguza mihemko mkuu, iweje usajili wa Dominick lawama uzitupe kwa Arsenal, inahusiana nini?Endelea kusema ni mihemko tu ila kwa mwenye akili timamu andiko langu atalielewa na linaeleweka
Everton 2-1 Arsenal Half Time
Confirmation from Arsenal that Pierre-Emerick Aubameyang misses tonight's match with a calf injury.
Sitakujibu tena kwa sasa andiko langu la juzi linielezea kila kituPunguza mihemko mkuu, iweje usajili wa Dominick lawama uzitupe kwa Arsenal, inahusiana nini?