Arsenal yetu ndani ya misimu 2 ijayo kuna mambo mawili lazima yatokee,first tutakuwa midtable team because sioni kama uongozi mzima upo serious na timu hii,imagine tupo 15 position ila sio mashabiki wala uongozi unajua tunaelekea wapi yaani tupo tupo ,pia hatutakuja kupata wachezaji wa viwango vikubwa kamwe sababu hatutashiriki champions league wala europa na wachezaji wazuri wanataka kucheza mashindano ya ulaya mfano dogo wa salzburg kaona aende Leipzig kuliko Arsenal (inauma sana)kaona Arsenal hakuna dira na hao wengine tunaowataka may be tutoe kitita cha dunia je arsenal wapo tayari kwa hili?tunajua haiwezekani kamwe na kwa mtindo huu na timu zinavyozidi kujiimarisha za EPL Arsenal kuna siku itashuka daraja trust me, unaweza usilione hili but kwangu mimi hili lipo na linakuja kama droo vs Southampton kwetu ilikuwa ni kama ushindi maana yake hali ni mbaya sana,kulikuwa na Aston villa Newcastle Nottingham Leeds(miaka hiyo zilikuwa ni big teams) na zilianza kuwa kama Arsenal ilivyo sasa na zikashuka Daraja na sasa hivi zipo zipo tu ila muda ushakimbia its too late ,kesho tunacheza vs Everton then Chelsea je tuna matarajio ya ushindi katika hizi next 2 games?kiukweli hakuna matarajio ya ushindi labda sare na kufungwa kabisa sababu kocha ni yule yule wachezaji ni wale wale na uongozi ni huo huo na wote hao wameshindwa kabisa kuonyesha timu inataka nini mbeleni let's wait for tomorrow game