Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Shika adabu yako nyie msioijua Chelsea ndio mnaosemaga ya 2004. Eti unasema kombe la miaka 50 nyuma! Nakupa homework nenda ka google kabla ya mwaka 2000 Chelsea ilikua na makombe gani?

Kheri usiiongelee kabisa kuliko kuwapotosha hawa watoto
Hapo nilikuwa naongelea kombe la epl mkuu.
 
Ifikie hatua tukubali Tu kwamba Mou ni kocha anayejitegemea , japo ana madhaifu yake pia ..... Ukiwa na Mourinho tu kwenye benchi inatosha kuamin kuwa Una timu uwanjani
Jamaa ni taasisi ya ukocha.
 
Shika adabu yako nyie msioijua Chelsea ndio mnaosemaga ya 2004. Eti unasema kombe la miaka 50 nyuma! Nakupa homework nenda ka google kabla ya mwaka 2000 Chelsea ilikua na makombe gani?

Kheri usiiongelee kabisa kuliko kuwapotosha hawa watoto
Hamna cha kupotosha Chelsea imepokea plastic fans baada ya kuja Abramovic ni sawa na City baada ya huyo mwarabu kuinject pesa.

Chelsea imezaliwa 2003.
 
Kwa game inayoendelea jitahidini sana msifugwe magoli mengi. Kwasababu kipigo kipo pale pale
 
Back
Top Bottom