We bambucha mbona Burnley kapiga shuti moja tu we haya mapepe unayatoa wapi?Kwa game inayoendelea jitahidini sana msifugwe magoli mengi. Kwasababu kipigo kipo pale pale
Muda huu Leicester anaongoza 3.
Kwa game inayoendelea jitahidini sana msifugwe magoli mengi. Kwasababu kipigo kipo pale pale
Say what, Spurs sasa hivi ndiyo kiboko ya vigogo. Yaani kasalimika Chelsea peke yake.
Kwa muonekano wa hii game na hali ya timu ushindi ni wa lazima ili turudi kwenye njia
Sisi tunataka maembeBora mngechukua Madison dogo anazungusha ndizi ni balaa, nyie mkakimbilia kumchukua Willian![]()
Unamaanisha muda wote tulikua hohehahe?A red card has come when the team was starting to attack
Nikiwa nacheza game nikipigwa red hua naswitch na kucheza 3 5 1 au 4 3 2. Captain anapata red huku timu ina shida na ushindi si masikhara haya?
Unamaanisha muda wote tulikua hohehahe?