Alisema misimu mitatu. Na tukakubaliana hivyo.Okay, kuweka hitimisho kwa haya maelezo ni kwamba Arteta ni mzuri ukilinganisha na Emery.
Tumpe muda gani zaidi?
Alisema misimu mitatu. Na tukakubaliana hivyo.Okay, kuweka hitimisho kwa haya maelezo ni kwamba Arteta ni mzuri ukilinganisha na Emery.
Tumpe muda gani zaidi?
Hili kombe tunaweza kulikosa pia.All the best The Gunners!
Hili kombe mnalihitaji sana ili mwaka kesho EPL ipeleke timu 5 UEFA.
Najua top 4 hamwezi kuingia, inabidi mpite chocho.
Hili kombe tunaweza kulikosa pia.
niliona Molde ndio ilikuwa ngumu. Mtazamo wangu kwa jana, Nelson akipewa playing time ya kutosha ana vitu vikubwa naviona ndani mwake, anajituma. maamuzi yake yapo 90% perfectKatika kundi letu timu iliyotupa ugumu kushinda ilikua hii.
Leo tunaiongoza 3 bila
🤣🤣🤣 Mnajimbafai na hao vibonde subiri epl ndio Kuna maumivu naombeni Madrid asiende Europa league habari yenu itakuwa imeisha.niliona Molde ndio ilikuwa ngumu. Mtazamo wangu kwa jana, Nelson akipewa playing time ya kutosha ana vitu vikubwa naviona ndani mwake, anajituma. maamuzi yake yapo 90% perfect
Siyo Rapid Vien walianza kutuongoza? Tukasawazisha kwa kichwa cha Luiz na ikabidi tuingize Bellerin na Auba ili kupata goli la ushindi jioni kabisa?niliona Molde ndio ilikuwa ngumu. Mtazamo wangu kwa jana, Nelson akipewa playing time ya kutosha ana vitu vikubwa naviona ndani mwake, anajituma. maamuzi yake yapo 90% perfect
Timu ya kwanza katika kundi la Madrid ina points 8, Madrd ana points 7 ni wa tatu kazidiwa magoli na timu nyingine yenye points 7 pia.🤣🤣🤣 Mnajimbafai na hao vibonde subiri epl ndio Kuna maumivu naombeni Madrid asiende Europa league habari yenu itakuwa imeisha.
Tangu iwe kubwa hakuna timu ya London imetwaa kombe lolote la maana.Hii timu kubwa mara ya mwisho kuchukua kombe ni lini?
Ndiyo, subiri jumapili uone.Unamaanisha Tottenham ni timu kubwa London?
Yan sijui siku iletulitokaje draw!!London ni nyeupe ujue![]()