Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tatizo la timu lilikuwa kwenye umaliziaji, second half we play better only that there was no one to finish the moves. Aubameyang was totally rubbish, afadhali lacazette kaonekana. Arsenal ingekuwa gari ningesema linahitaji major overhaul including the coaching staff
Namna tulivyocheza kipindi cha pili ndiyo ilifanya "muonekane" bora, ilaukweli hamkuwa na ubora wowote ndiyo sababu Spurs tulikuwa very comfortable with & without the ball.

Briefly, you need some serious planning, some serious project. Hizo projects zenu za kuchukua makocha "wapya" wasio na rekodi za kufungwa ndiyo zitawafanya muendelee kushabikia historia kama mashabiki wa Man U.
 
Tatizo la timu lilikuwa kwenye umaliziaji, second half we play better only that there was no one to finish the moves. Aubameyang was totally rubbish, afadhali lacazette kaonekana. Arsenal ingekuwa gari ningesema linahitaji major overhaul including the coaching staff
Fact
 
Mamamamaeee katika EPL kwenye kucreate chances ni wa 20 ,short on target wa 18,Goal tulizofunga ni wa 17 ,nani katuroga Arsenal??

Bila Arteta Kuondoka Arsenal kuanzia leo kuna hatari ya kuwa wa 18 na sitashangaa kwa hilo kama statistics zinavyojieleza, Arteta hatakiwi kuwa Arsenal amefeli mechi 9 unafungwa 6?hapa kocha hatuna but sababu Edu wamepiga hela kwenye kumleta wakampa hadi cheo cha umanager sijui watamtoaje
 
Mikel Arteta on Arsenal’s worst start in the league in 45 years: “We can do any system, any formation, we can put 55 strikers there, if we don't score goals, we cannot win football matches, simple as that.” [Sky]
 
HUYO ARTETA NI KOCHA MZURI KWA LIPI?? NA HUYO WENGER MIAKA 21 KAFANYA NINI, YAANI UNAFUNDISHA TIMU MIAKA 21 UNA PREMIER 3 NA UEFA 0.
Muombeni Mola basi atume mmoja wa manabii aje kuifundisha Arsenal ibebe EPL na UEFA kwa sababu kwa walio hai Arsenal itabaki ile ile
 
Kwa fixture hii tutegemee Ars8 kushuka daraja.
Sioni anamfunga nani hapo!

Dully Jr Unaruhusiwa kubadili ID uje kivingine.
Usione haibu kufanya hivyo kwani hauta kua wa kwanza kufanya hivyo, hata PAPAA GX anajiita sijui nani vileeeeh
Akija na ID nyingine tunamkaribisha Chelsea
 
Sema nn watani mmejitahidi sana, kipindi cha pili mmecheza vizuri sana sema mmekutana na basi la morinyo mkaishiwa pozi kabisa. Arteta sijui kwann hakuliona hilo mapema, alitakiwa abadilike ki mbinu baada ya morinyo kuweka basi. Pale mlitakiwa muwavute kwanza mpige back pasi za maana kisha mnakuja fanya shambulizi la kushtukiza kama mlivyo tufunga kwenye fainal ya FA lile goli la Auba.

Alafu kitu kingine kocha wenu alishindwa kufanyia kazi ni zile Cross za juu aisee mmepiga nyingi mno lakin hakuna ata moja iliyo zaa matunda, hawa spurs mipira hiyo inaokolewa sana. Ata kwenye game yetu Lampard alishindwa kugundua hilo jambo. Kilicho waua ni kutokuwa na kiungo mshambuliaji nadhani mngepata angalau goli moja.
 
Nyie Asenyani njoo muangalie Anfield namna ya kumnyoosha Wolves
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Noma sana bro. Ila unajua nini, arteta anajikuta tu kashakuwa kiji-Guardiola flani hivi.

Upuuzi mtupu. Nenda katafute stats za arsenal with and without Guendouzi utaelewa. Willian si uharo mtupu, willock ni wa kubakishwa hapa???

Eti ozil ameachwa for football reasons

Nafikiri issue ya Ozil hakuwa na namna, ilibidi aipe cover kwa niaba ya timu.
 
Kwani arteta ana feli wap hadi lawama zote zinakuja kwak jman angalie na team na wachezaj 2lio kuwa nao
 
Back
Top Bottom