Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Juzi nilisema huu uzi hauna wachangiaji wa timu zingine kwakua, nanukuu, "We are not fvcking up our opportunities" nikasema tumedeal vizuri na hizi ishu tumewapiga kufuli ila game na villa inakuja kichezesha kufuli, and it did.

So ghafla unaona watu wanafurika na kila mmoja anakuja kutoa stori yake. Wote hao wana stress na timu zao wanataka kuja kupunguzia hasira zao kwenye huu uzi.

Mimi roho itaniuma tukitolewa Europa. Hili battle la ligi ni refu bado muda unatosha kwa waliofungwa saba na sita kurudiwa na huo mzimu at the mean time tujaribu tu kurekebisha tulipomess up.

Kufuli linahitajika tena. Kisha utawaona waleeeee kwa mbaaaali wanaelea elea tu hawawezi kucomment chochote.

Kufuli.
 
Reactions: Ccc
Willian naona kama ni galasa hivi
Sizinga Tutaanza kuongea lugha moja Sasa sisi Chelsea tunamfahamu Sana willian, Willian anatabia ya kukiwasha pale tu anapotaka kuongeza mkataba mpya aftermath kiwango chake kinashuka + na umri umeenda ndio maana Chelsea hawakutaka kumpa mkataba wa miaka 3 aliyokuwa akitaka so mmepigwa kweupe mzee
 
Kikosi kilichocheza OT ndiyo kimeanzishwa leo.

Elneny na Partey wapo katikati
Mlitaka kupaki bus hata na kwa aston villa?
Arteta ana mbinu nzur anapopak bus shida huja akiwa nyumban anatakiwa kufunguka hapo ndipo vichapo vinatokea
 
Vip kuhusu Willian? Mzee baba tuliwaambia kuhusu Willian na Chelsea walikuwa si wajinga kumuacha huyo mchezaji
 
Chelsea anashinda game mfululizo na Jose Mourinho with many goals so usijipe hope
 
Huhuhuh. Villa wamejua kunifurahisha aiseee
 
Lacazette Missed an absolute sitter again. Needs a spell out of the team and to change his middle name to Chamakh.
 
Aubameyang


No service. No shots. We're wasting a world class centre-forward in the wrong position.
 
Willian

Genuinely: giving him a three year deal is like committing to pay £100,000 a week for a 28 inch genuine Sorny television for the same period. Abysmal. Missed a great chance in the first half, and slashed one wide in the second half too. He needed a big performance tonight, and this was his worst game so far
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…