Good Man
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 932
- 1,173
Si tuliwapiga € M8 kwa Willian hawa mbuzi?Hahahah ati Willian anajua kupiga Freekick.
Hebu muwe mnasogea darajani mumuone mchawi Hakim Ziyech alivyo na balaa.
Bora hata tuliwaachia huyo Garasa Willian.
Mnamkazia mzeebaba Man u mnakuja lalwa na dgo AstonVilla 🤣🤣🤣🤣Uchovu. Formation anayotumia na anavyotaka mpira wa mpera mpera dakika tisini over time timu inakosa intensity. Tired minds tired legs.
Mwanzo walikua wanashinda na nyavu zao zinaguswa kwakua beki mbovu sasa hivi wana beki mbovu iliyochoka na forward iliyochoka
Imekuwaje sasa mmekalia ukuni🤣🤣🤣🤣Kikosi kilichocheza OT ndiyo kimeanzishwa leo.
Elneny na Partey wapo katikati
Naona arsenal mmeshinda🤣🤣🤣🤣Acha ulofa, mshindi anapatikana baada ya dakika 90
😂😂😂😂😂Wewe offspring ya shoga + malaya
5 min to go,
,
Naweka simu pembeni tuo8 after match,
Le go
Fanya vyote mkuu, cheka na lia🤣🤣🤣🤣Haijawah kutokea kwa Wenger na Unai (tuliyemtukana)mechi 8 tumeshapoteza 4 je katika 38 tutapoteza ngapi?kwa mpira huu narudia na December ndo inakuja Arteta hatamaliza mwaka may be board ione aibu kumtimua EPL ya sasa si ya zamani timu zimejipanga na kwa mpira wetu I swear Arteta December ataiona chungu kuna Everton Southampton Spurs Chelsea Wolves 🙄 😑 nataka kucheka ila nalia katika Arteta December hatamaliza Trust me
🤣🤣🤣🤣🤣Ni matokeo ya footbal
Lakini liverpool ulipigwa saba mkuu ..Arse8 kachezea kipigo cha kawaida sana😀😀😀Ningeshangaa sana, timu imfunge Liverpool halafu Arsenal aifunge!
Yule Leno ukilenga tu imoo. Bora Martinez arudiSaba hazijafika, ni 3 tu
Timu zote unazoshabikia ni majanga tu. Kupanga ni kuchaguaLeo tulicheza kama yanga