Arsenal inakatisha tamaa, timu ikishafungwa, no plan B, wachezaji wakishapata mikataba minono, basi, wana relax. Huwezi amini huyo ndio Aubameyang wa msimu uliopita
Timu inapambwa sana wakishinda mechi 1 na full kupost kwenye instagram na fans kuwapamba wachezaji wanaishia kujichekesha mitandaoni wachezaji waachane na ma instagran kama pogba Martinez kaja kupata point 3 kwao ntaanza kuwaangalia kina Viviane kuliko kupoteza usingizi hata game za Sheffield and West ham tulishinda kwa bahati no plan Arteta anajua kucheza na timu zinazomiliki mpira ila akimiliki yeye hashindi au atashinda kwa bahati nasibu ***
.haaaahaaaaa duh...afu kuna watu walikuwa wanasema ubingwa wa arsenal msimu huu ktk huu Uzi wenu....bado hujakutana na Leeds kina wolves ushafungwa game 4 km HV n Thomas injury
Katika game za msimu huu tulizofungwa na ikaniuma ni ya liva.
Hatukuonyesha quality kivyovyote. Laca akakosa two big chances. Hii haijaniuma koz hata hizo chances hakuna, ni kumiliki mpira tu na shots za hapa na pale.
Tukicheza na timu zinazopaki basi ndiyo unaona pengo la namba nane kwa uwazi kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.