Willian naona kama ni galasa hivi
2 early to make such a judgement
Pepe ana goli nne au tatu hizo hizo na assissts
Goal from Willian mistake
Sio kama ni galasa hvi bali ni galasa tena kweli kweli halafu wamempa 3 yrs contract naona another Ozil huyu WillianWillian naona kama ni galasa hivi
Si mlimpokea kwa tambo sana, Kwan imekuwa vip tena jamani
Willian naona kama ni galasa hivi
Poor ArsenaneSaka’s own goal
Sisi jana tumeshinda ushindi wa kishindo lakn tuko kimya tu nyie sasa kama paka shumi
Acha ulofa, mshindi anapatikana baada ya dakika 90