computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Aston villa walijua Bellerin ni dhaifu na wametumia upande wake kupata goli zote 3
Mimi naweza bishana na wewe kwamba hatutakua nje ya 5 ila siyo ubingwa msimu huu. Na ndiyo nilichokua nawaambia waliodhani tuna chansi ya ubingwaHatutaki kuelewa,kama kufungwa umeshafungwa hata ukisemaje kipigo hakitobadilika kamwekwa hiyo sasa ndo unasema kocha ameomba misimu mitatu ya kujiandaa ila mkishinda mnasahau kama kuna jambo kama ilo
Tuacheni visingizio ligi ni ngumu mwaka huu ila kwa Arsenal itakuwa ngumu zaidi tangia 1996 Wenger alivyokuja, mambo ya huyu kafungwa nna nani kama timu yetu hayatuhusu that's why tunashiriki EPL wengine wakifungwa inatakiwa sisi tupambane imagine leo tena tupo home tumepigwa vidole vya matako namna hii(sorry for saying this) Arsenal ina struggle namna hii why?juzi tumewasifia kina Gabriel leo je?Arsenal kwa sasa inacheza bora siku liende na msimu uishe no vision no future hatujui tunataka nini?top 4,6 au Europa?hatujielewiMsimu huu timu zote zile big 6 zinastruggle kua kwenye form ndiyo sababu unakuta City kala 5 na Liva kala 7 na baadhi ya mashabiki wanaamini Arsenal anaweza pambania ligi (kinyume na maono ya kocha)
So hakuna timu ambayo imekua kwenye smooth run so far, huyu aliyetufunga leo ametoka kupoteze games mbili mfululizo. Sisi tulipokua tunakutana na Man tulikua tumetoka kupoteza games tatu mfululizo.
Kila timu inahaha kuipata form.
Na zote zinalenga Januari ifike zizibe viraka ili maisha yasonge. Arsenal wanataka kuziba pengo la namba 8, 9 na 10. So the idea ni kwamba timu ijishikilie sasa hivi isurvive hii storm kisha January ijipange upya zaidi.
Ni disappointment kufungwa especially aliyekua juu kabisa alikua amesuluhu ila hili tulilopoteza ni pambano vita bado inaendelea. So bado tunapambania hii vita.
The idea is to win.
wanaojua mpira wanaelewa nini kitafata ,leeds wako nyumbani soon wata anza kupiga kelele kocha😂Next,
Leeds![]()
shot on targe ni 2 dak 90 z0te,mmeishia kukaa na mpira tu kwenye miguu yenu,kitu ambacho hakina maana.Poleni wana arsenal wenzangu.
Timu yetu imecheza hovyo leo.
Timu tuliyoikoa kushuka daraja leo imetuadhiri kabisa nyumbani.
Let's keep on correcting our mistakes.
Kweli Maisha bila unafki hayaendi, wewe nae ni wakuitakia Arsenal improvementDah so sad No improvement ni kama mnabahatisha tu.



Timu inamiliki mpira kwa 65% unasema inacheza bora liende?Tuacheni visingizio ligi ni ngumu mwaka huu ila kwa Arsenal itakuwa ngumu zaidi tangia 1996 Wenger alivyokuja, mambo ya huyu kafungwa nna nani kama timu yetu hayatuhusu that's why tunashiriki EPL wengine wakifungwa inatakiwa sisi tupambane imagine leo tena tupo home tumepigwa vidole vya matako namna hii(sorry for saying this) Arsenal ina struggle namna hii why?juzi tumewasifia kina Gabriel leo je?Arsenal kwa sasa inacheza bora siku liende na msimu uishe no vision no future hatujui tunataka nini?top 4,6 au Europa?hatujielewi
Wewe nae si uligongwa 7,.!Thisshot on targe ni 1 dak 90 z0te,mmeishia kukaa na mpira tu kwenye miguu yenu,kitu ambacho hakina maana.
unakotoa nguvu za kutoa ushauri humu ni wapi na mm niende? 
Ulichosema ni kweli lkn pamoja na yote arsenal huwa inastrugle sana hasa ikikutana na timu ambazo zinatumia nguvu kwahiyo nadhani coach anatakiwa kuliona hili kwa jicho la ziada mfano gem ya leo sikuona umuhimu wa kumtoa partey na kumuacha elneny, kumtoa lacazette unamuacha saka pia kumwacha willian zote hizo wakati alionyesha kubolonga mapemaMsimu huu timu zote zile big 6 zinastruggle kua kwenye form ndiyo sababu unakuta City kala 5 na Liva kala 7 na baadhi ya mashabiki wanaamini Arsenal anaweza pambania ligi (kinyume na maono ya kocha)
So hakuna timu ambayo imekua kwenye smooth run so far, huyu aliyetufunga leo ametoka kupoteze games mbili mfululizo. Sisi tulipokua tunakutana na Man tulikua tumetoka kupoteza games tatu mfululizo.
Kila timu inahaha kuipata form.
Na zote zinalenga Januari ifike zizibe viraka ili maisha yasonge. Arsenal wanataka kuziba pengo la namba 8, 9 na 10. So the idea ni kwamba timu ijishikilie sasa hivi isurvive hii storm kisha January ijipange upya zaidi.
Ni disappointment kufungwa especially aliyekua juu kabisa alikua amesuluhu ila hili tulilopoteza ni pambano vita bado inaendelea. So bado tunapambania hii vita.
The idea is to win.
WeMove
Villa ilikua wakipata mpira ni mbele tu au counter na imewalipa.Ulichosema ni kweli lkn pamoja na yote arsenal huwa inastrugle sana hasa ikikutana na timu ambazo zinatumia nguvu kwahiyo nadhani coach anatakiwa kuliona hili kwa jicho la ziada mfano gem ya leo sikuona umuhimu wa kumtoa partey na kumuacha elneny, kumtoa lacazette unamuacha saka pia kumwacha willian zote hizo wakati alionyesha kubolonga mapema
Mapendekezo yangu ilikuwa atoke elneny aingie xhaka, atoke willian aingie Pepe na atoke saka aingie ceballos kisha arteta abadili mfumo na kucheza 4 3 3 nadhani hapo tusingepoteza gem kirahisi hivyo lkn yote kwa yote mpira nichezo wa makosa tumekosea tumeadhibiwa
😂Wewe nae si uligongwa 7,.!Thisunakotoa nguvu za kutoa ushauri humu ni wapi na mm niende?
![]()
Ebu tafadhali ... tafadhali kabisa... umetoa draw au? Umeruhusu tu bao moja ama?Leo tulicheza kama yanga
Mzee zilivyofika goli tatu afu nikicheki dakika kama ya 75 hivi niliogopa, nikajisemea ndio maana watu wanapigwa sabaSaba hazijafika, ni 3 tu


