Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Man city ni mbovu mbovu this season but naye tulicheza mpira Mkali second half then negative results at the end na hapo Man city kacheza na Leicester Leeds Arsenal na West ham kwa mfululizo(maajabu kachukua point 3 kwa Arsenal pekee)
 
Kwa upande wako bado una imani na Arteta?
Maana kuna watu wamesha anza kumkataa humu.
Nimeamua kutoongelea mpira katika uzi huu, nasoma tu comments na kulike siyo kwamba nakimbia.
 
Goli moja ndilo linalotia mimba, alisikika mama mmoja mwenye mimba.
 
Back
Top Bottom