Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Al-Nassr [Saudi Arabia] have offered £5m to Arsenal for Mesut Özil and the club is ready to part ways with him.

They offer him a £500k contract for two seasons, but his intention is firm: for now he does not want to leave even though he is not taken into account by Arsenal

-Spanish Journalist Cesar Luis Merlo.
 
Ha haaa, nadhani aliambiwa kabisa anyoe, tactically nywele zinaupoza mpira kwa hiyo defender akipiga header (tofauti na paji la uso) mpira utaangukia karibu na kukaribisha shambulizi zaidi.

Hata strikers wengi hawatimui manywele kama Willian kwa sababu hiyo pia, zinaathiri direction na speed ya mpira wanapopiga header.

Huyu Luiz ndio beki kiburi hataki kunyoa
Luiz nywele zake nyepesi. Labda shida iwe kwenye mvua mpira uteleze uelekee golini kwa own goal.😀
 
Its a better window for Arsenal, hatujawahi kufanya sajili kiasi hiki kwa muda sana na pengine tangu Wenger apewe kikosi. Mapema kabisa nilisema humu tukimpata Partey na Dani akaongeza loan, Aouar si muhimu sana msimu huu labda next season.

Xhaka, Dani, Willian na may be Ozil (kama atabadilika) wote hawa ni AMF wazuri tu. Kwenye defensive role ndio tulikuwa na Elneny pekee baada ya Torreira kutokuwa chaguo la kocha, with Partey we got more options now.

Hapo bado hujagusia makinda nadhani wanne tulioongeza ambao ni teenagers wote wanaenda kufuliwa under 23 na Per Martesecker. Na pia tume off load some high earning players to balance our books.

Project ya Arsenal under Arteta ni long termed na ndio maana hata mwanzo tulisema kwa msimu huu tukiingia big 4/Uefa na kufanikiwa kuretain FA Cup na may be tukabeba Europa itakuwa mafanikio makubwa sana and I can smell it coming!!
Hivi tunavyomzungumzia ozil abadilike, tunataka abadilikeje???
 
Labda kwa sababu namkubali sana Ozil uwanjani na nje ya uwanja kwa hiyo namuangalia tofauti. Jamaa ni mfano mzuri ya mtu anaetambua uwezo wake na misimamo yake. Of course suala la kisiasa lipo ila halipewi kipaumbele. Kwenye mishahara, ana haki ya kukataa maana alihoji na maelezo aliyopewa hayakutosheleza na hata hivyo hatimaye bado watu waliachishwa kazi. Kiuhalisia mishahara wanayoilipa Arsenal ni mikubwa mno kwa baadhi ya wachezaji wa kawaida tu so wanadakwa hapo. Ozil ana mishe zake pia nje ya mpira. Ni mtoa misaada na ana vishirika vinamtegemea ambavyo bila shaka vilikuwa vinapitia wakati mgumu kwa sababu ya Corona. Jamaa sidhani kama ni mchoyo au mbinafsi kwahiyo naona alifanya poa ili wengine wasiyo na bahati kama yeye wanufaike. Na pia hakukataa peke yake ila alitajwa yeye. Kinachotucost ni amewaonesha Arsenal kwamba yeye hayuko tayari kupelekeshwa nao na yuko kwenye position nzuri. Mimi mwenyewe ningeweza kuwa hivyo nilipoajiriwa ningefurahi sana.

Kuingia uwanjani, ukiacha ukabaji ambalo ni swala linalofundishika na yeye nimemuona akijitahidi kulishughulikia ila naona kuwa tunakosa mengi zaidi kwake. Ni kama kumtoa kwenye kwaya muimbaji mzuri sana kwa sababu ana sauti nzuri tu ya kuimba lakini wanamuziki wengine wote kwenye kwaya wanapiga vyombo pia kwa hiyo acha tu tuikose sauti nzuri.
Umeongea jambo kubwa sana!

Issue za ozil ni more off the pitch na sio za uwanjani. Maskitiko ni kwamba management iko tayari kuzileta uwanjani issue hizo.

Anyway, ozil atasepa zake mwakani mkataba wake ukiisha lakini tusitafute visababu eti hakabi sijui haendani na mfumo sijui hili wala lile. Emery aliwahi kusema wakati wa saga la ozil kipindi yeye ni kocha kwamba decision ya kutomchezesha ozil haikuwa yake peke yake.
 
Sidhani kama ni fair kumfanyia Xhaka tathmini kwa mechi moja, huyu jamaa hata tukipata midfielders bora kuliko yeye ukweli utabaki kuwa ametubeba sana kipindi tumemtegemea na kuhitaji huduma yake.
Unadhani Xhaka na Partey watacheza nyuma ya Dani kwenye 4213? Xhaka awe DLP na Partey B2B? Hakuna hatari hapo tukipigwa counter?
 
Unadhani Xhaka na Partey watacheza nyuma ya Dani kwenye 4213? Xhaka awe DLP na Partey B2B? Hakuna hatari hapo tukipigwa counter?
Mi hapa sijaelewa kwahiyo ili Thom, Granit na Dan wacheze pamoja unadhani formation gani ni nzuri?
 
Unadhani Xhaka na Partey watacheza nyuma ya Dani kwenye 4213? Xhaka awe DLP na Partey B2B? Hakuna hatari hapo tukipigwa counter?
Siku kadhaa nyuma niliwahi kusema kuwa mbali na Xhaka, suala la kucheza defensive midfielder huku ni left footed ni ngumu sana.

Ukitaka kuamini angalia ligi kubwa zote ulaya, ukiacha Xhaka na Fred wa united kiungo gani mwingine anacheza nafasi hiyo ambaye ni left footed?

Ninachotaka kumaanisha ni kuwa kama tunataka kumhukumu Xhaka tumpeleke kwenye nafasi yake ya AMF kwanza. Japo sometimes hajawa na ufanisi wa kutosha kwenye hiyo nafasi, lakini amejitahidi sana.

Pia kwenye 4-2-1-3 tukiwa tunashambulia Xhaka anaenda kukaba nafasi ya left full back ambaye ana overlap kushambulia, kwa hyo bado anakuwa kwenye confort zone yake.
 
Arsene Wenger:

"Well, I wish [Mikel Arteta can take us back to the glory days]. I especially wish that we go back to win the championship before that happens. For example, now we have Mikel Arteta in charge, why should we not do it?"
 
As long as Ozil is in the team , Arsenal matches would not be broadcasted in China and Arsenal won't benefit from Tv rights , because a lot of Arsenal revenue comes from China Tv

More of it is in the internet. Google "Ozil Criticism of Chinese government and how it affects Arsenal football club "

The Chinese government has sworn that as long as Ozil is still in the team , Arsenal would stop benefiting from China because the world market is in China ,they control the world economy and also a big part of Asia .. commercial wise , Arsenal market in Asia would stop and it will affect the club financially, because all club merchandise would be banned from China as well ,So that is the Reason Ozil isn't in the team , don't expect to see him anytime soon

Ozil may just be training and may see out his contract just sitting at home during match days

That's why nawashangaa manguli au wanaojiita manguli kusema eti ozil doesn't fit in the system au sijui ozil hakabi au sijui bla bla nyengine.

Ozil issue is political and that's the end of story.

Ozil is the type of people who will stand on what they believe until the last drops of their blood
 
Siku kadhaa nyuma niliwahi kusema kuwa mbali na Xhaka, suala la kucheza defensive midfielder huku ni left footed ni ngumu sana.

Ukitaka kuamini angalia ligi kubwa zote ulaya, ukiacha Xhaka na Fred wa united kiungo gani mwingine anacheza nafasi hiyo ambaye ni left footed?

Ninachotaka kumaanisha ni kuwa kama tunataka kumhukumu Xhaka tumpeleke kwenye nafasi yake ya AMF kwanza. Japo sometimes hajawa na ufanisi wa kutosha kwenye hiyo nafasi, lakini amejitahidi sana.

Pia kwenye 4-2-1-3 tukiwa tunashambulia Xhaka anaenda kukaba nafasi ya left full back ambaye ana overlap kushambulia, kwa hyo bado anakuwa kwenye confort zone yake.
Halafu hili nakupinga kila siku Xhaka siyo AMF
 
Mbona Arteta alikuwa very clear, ni sahihi kwamba alikuwa kwa mkopo last season lkn muda mwingi alikuwa majeruhi kisha issue ya covi-19 ikazuka kwa hiyo hakuwa na successful loan spell.

Unapopeleka mchezaji kwa mkopo mahali kwa tactical issues unamueleza akaimprove attributes zipi na unachagua club itayo msaidia kufanikisha hilo.

Saliba ameambiwa akajirekebishe kudefend set pieces na aache kutumia diving tackles. Kwa EPL kama huwezi kudefend set pieces vizuri timu ndogo zitakuua kila siku na kwa tackles zake ataumia almost kila mechi.
Sasa kwa nini unamnunua player kama huyu ambaye unajua ana weakness nyingi wakati hapo EPL kuna defenders wengi na ni wazuri ambao they are ready kuchezea Arsenal?

Arsenal haikuhitaji kununua defender then tuanze kumtoa kwa mkopo mara huku mara kule tulitaka beki ambaye atakuja direct kama Gabriel na kuingia 11 eleven direct sababu eneo la beki lilikuwa limeoza kabisa
 
Siku kadhaa nyuma niliwahi kusema kuwa mbali na Xhaka, suala la kucheza defensive midfielder huku ni left footed ni ngumu sana.

Ukitaka kuamini angalia ligi kubwa zote ulaya, ukiacha Xhaka na Fred wa united kiungo gani mwingine anacheza nafasi hiyo ambaye ni left footed?

Ninachotaka kumaanisha ni kuwa kama tunataka kumhukumu Xhaka tumpeleke kwenye nafasi yake ya AMF kwanza. Japo sometimes hajawa na ufanisi wa kutosha kwenye hiyo nafasi, lakini amejitahidi sana.

Pia kwenye 4-2-1-3 tukiwa tunashambulia Xhaka anaenda kukaba nafasi ya left full back ambaye ana overlap kushambulia, kwa hyo bado anakuwa kwenye confort zone yake.
Mimi naona atacheza kwenye base ya Kiungo kama Rodri tu pale city

Box to box Partey, ,Ceballos as LCM
 
That's why nawashangaa manguli au wanaojiita manguli kusema eti ozil doesn't fit in the system au sijui ozil hakabi au sijui bla bla nyengine.

Ozil issue is political and that's the end of story.

Ozil is the type of people who will stand on what they believe until the last drops of their blood
Pamoja na Yote , Kwenye Mifumo hii ya kocha 3-4-3 na 4-3-3 ozil hakuna pakumuweka

Labda turud 4-2-3-1 kitu ambacho sioni Arteta akirudi kwasàsa
 
Back
Top Bottom