Haihusihan na wachina kwanini watu wanatengeneza hizi Story ?
Mbona kwa emery alikuwa hachezi hilo la wachina lilikuwa bado halijatokea.
Kinachomfanya Ozil asicheze kuna Factors 2-3
1.Ozil kwenye mkataba wake ana vipengere vya Bonus anapocheza analipwa , sasa Timu haitaki kuingia gharama zaidi ,bado analipwa £300k+
Hata Auba , willian wanavyo
2.Ozil aliingia mgogoro na klabu kwenye kukatwa mishahara , aliwagomea kabisa ,hakufanya fair kumbuka kina Auba na wengine walikuwa mstari wa mbele kujitolea ,yeye Akagoma kabisa akiwa na sababu zake
3. Kwasasa Kocha anatumia mifumo ya 3-4-3 na 4-3-3 ,na Kocha anatumia system ya kukaba kwa Pamoja na sio individually , so Ozil anakosa sifa ....
4.Klabu kwasasa Haitaki gharama zisizo na msingi, ndio Maana Hata Katuni letu wamelisimamisha kazi kwa Muda had mashabiki warudi,
NB: Ozil zama zake zimeisha ila bado ana uwezo wa kucheza , ila Kocha alishaamua hamuhitaji , Sawa na Matteo Guendouz waliyamaliza kabisa na klabu lkn Kama asingeondoka asingecheza hata bench asingepangwa .......Je na huyu tusemaje
View attachment 1591841