Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nimesikitika sana Huyo ndugu kusema namchukia Ozil, wakati nimeleta taarifa ,tena awali nilikuwa sijui kama hili la China lina athari kubwa

Na msimamo wangu nimekuwa nikisema Ozil yupo sahihi 100%

Lakini Na Arsenal wapo sahihi 100%.

Kwahiyo Arsenal wakajitenga wasiendelee kukosa mapato ambayo hayo hayo wanayatumia kumlipa Ozil

Angalia hapa chini Jinsi Arsenal alivyoanza kukosa mapato ...

View attachment 1595883View attachment 1595884
In a way hajasema pengine unamchukia ozil, au hata kama amesema hivyo the bottom line ameongelea dini yake ambapo si mimi binafsi nimewahi kushuhudia comment zako za chuki juu ya uislam.

Namna hii pengine isajorsergio yupo sahihi kabisa. Na mimi naamini hivyo
 
Correct. Hauwezi kuliangalia hili kwa wepesi. Timu zinaajiri 'social media consultants' na wana 'public relations officers' kwa ajili tu ya kuongezea mahusiano kati ya timu na mashabiki kwa nia ya kuongezea timu faida. Kuhusu wanawake wa ManUtd, sijui lakini nahisi kwamba kwa sababu ni wamarekani na huko kwao pia jezi za timu ya taifa za wanawake zimepita kwa mauzo jezi ya wanaume so kuna support kubwa kule. Nadhani media za USA imesupport sana mchezo wa wanawake kuliko maeneo mengine. Pia labda imechangiwa na hawa wawili kuwa wapenzi so wanapata support kutoka kwa wanaofuatilia mahusiano yao?
Mkuu unasema timu???

Mimi kabla sijaondoka DTB nilishuhudia akiajiriwa social media expert pale.
 
In a way hajasema pengine unamchukia ozil, au hata kama amesema hivyo the bottom line ameongelea dini yake ambapo si mimi binafsi nimewahi kushuhudia comment zako za chuki juu ya uislam.

Namna hii pengine isajorsergio yupo sahihi kabisa. Na mimi naamini hivyo
Wewe una matatizo makubwa sana , wapi nimeweka comment za Chuki ?

Naomba ukae mbali na Mimi , Sihitaji kugombana na wewe , japo nishakuona sana una shida mahali ,haupo sawa

Maana naona unaleta Mambo ya Udini ambayo sijawahi kuyaleta hapa jukwaani ...

Chuki zako, juu yangu Usilete hapa...nimechagua kukaa mbali na wewe ,
 
Sidhani kama ni fair kumfanyia Xhaka tathmini kwa mechi moja, huyu jamaa hata tukipata midfielders bora kuliko yeye ukweli utabaki kuwa ametubeba sana kipindi tumemtegemea na kuhitaji huduma yake.
Kwahiyo kwa xhaka hili tunaliona??? Kwa ozil??

Umesahau the way tulivyokuwa tukimuomba abaki??? Sio Sisi mashabiki tuliokuwa mitandaoni tukiiambia bodi wampe ozil salary anayotaka ilimradi tu abaki???
 
Nilisema Ozil ni ngumu kucheza ukasema umescreenshot na utakuja kunikumbusha juu ya Ozil. Now wamemtoa kwenye kikosi che Europa ndiyo nikasema screenshot hauna kazi nayo as utakua hauna cha kukumbusha
Bado ninayo mkuu.

Let's wait
 
Nilichokuwa namaanisha mimi ni issue ya game mentality tu mkuu.

Lakini recently yamewekwa wazi mambo mengine mengi ya nje ya uwanja ambayo ukiyaunganisha yanafanya issue yake kuwa very complicated.
Lakini mkuu game mentality hii itabidi unisaidie vizuri.

Mdogo wangu ameoa mzungu. Taratibu zao za maisha ni tofauti sana, mawifi wakianza maneno yao ya chokochoko nawaambia tulieni. Si mlishangilia sana nyinyi siku ile ya harusi hamkujua mtoto wa watu hajazoea kwenda sokoni na kukaa vibarazani jioni kupiga umbea??

Tulipomsajili ozil 2013 tukashangilia sana hizi mambo za kukaba hatukuzijua?? Tulipomuongezea mshahara na mkataba bado tu hatukuzijua hizi mambo??

Issue ni hiyo ya China na kukataa pay cut during Corona.
 
In a way hajasema pengine unamchukia ozil, au hata kama amesema hivyo the bottom line ameongelea dini yake ambapo si mimi binafsi nimewahi kushuhudia comment zako za chuki juu ya uislam.

Namna hii pengine isajorsergio yupo sahihi kabisa. Na mimi naamini hivyo

Mkuu kuona hadi nimeandika vile nafahamu kwanini, na nikiwa na akili timamu. Digital Footprints' ni kitu kingine na vyema watu wakazingatia wanayoyatoa.

Kikubwa Aaron Arsenal x Relief Mirzska let's back to Fútbol, politics tuwaachie wenyewe. Aaron samahani kama nimeku-offend. We good, we move.
 
Sasa kwa nini unamnunua player kama huyu ambaye unajua ana weakness nyingi wakati hapo EPL kuna defenders wengi na ni wazuri ambao they are ready kuchezea Arsenal?

Arsenal haikuhitaji kununua defender then tuanze kumtoa kwa mkopo mara huku mara kule tulitaka beki ambaye atakuja direct kama Gabriel na kuingia 11 eleven direct sababu eneo la beki lilikuwa limeoza kabisa
Swali zuri sana mkuu.

Tena sio tulimnunua tu, tulimnunua bei kubwa kwa umri wake
 
Laliga sio ligi bora?

Epl si imerudi kuwa ligi bora mwaka Jana tu,

Laliga kadominate karibu miaka 10

Katafute za UCL ambapo kuna ligi mbalimbali
Kama tunatumia record za UCL hapo sawa. Vigezo na masharti lakini since this century imeingia EPL haina mshindani
 
Huyu jamaa nahisi anahamia Uturuki mazima. Kaoa Miss Uturuki flani na rais wa Uturuji ndiye best man wake. Kifupi si mtu mdogo kivile. Ingawa waturuki nao ni wahuni flani kwenye siasa...
Kweli aiseeee.

I think the guy will go into politics in the future
 
Ameyasema unaweza kunithibitishia kupitia jukwaa hili wapi nimefanya usemacho?
Aaron ndugu yangu tuyaache haya. We good we move.

Just for the record, ndio naweza kukuthibitishia hapa hapa. Hukuyasema hapa kwenye uzi wa arsenal but kwenye nyuzi nyengine huko.

Tuyaache mkuu let's move on na arsenal yetu.
 
Una tatizo mahali, Mimi nipo Kwenye majukwaa mbalimbali na kila jukwaa na maudhui yake ,kama hukupendezwa na jambo fulani ,ungemalizana na Mimi huko huko.

Kwenye hili jukwaa sijawahi na sitawahi kuleta mada za dini maana najua mipaka na sheria za hapa , Mada za dini kuna jukwaa lake ...
 
Looking ahead: The PA news agency understands that Norwich are willing to let £20m-rated Emi Buendia leave Carrow Road. In December, Buendia created 29 chances. That was the most by a player in a calendar month on record in Premier League history. #TransferTarget #WegoAgain

https://t.co/kdBinn1U6A
 
Simjui huyu. Tunamtaka? Tunamhitaji?
 
Back
Top Bottom