Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa kwa nini unamnunua player kama huyu ambaye unajua ana weakness nyingi wakati hapo EPL kuna defenders wengi na ni wazuri ambao they are ready kuchezea Arsenal?

Arsenal haikuhitaji kununua defender then tuanze kumtoa kwa mkopo mara huku mara kule tulitaka beki ambaye atakuja direct kama Gabriel na kuingia 11 eleven direct sababu eneo la beki lilikuwa limeoza kabisa
Arteta hajamnunua kamkuta
 
Sasa kwa nini unamnunua player kama huyu ambaye unajua ana weakness nyingi wakati hapo EPL kuna defenders wengi na ni wazuri ambao they are ready kuchezea Arsenal?
Nadhani club ilikuwa na mipango naye kwa baadaye ndio maana aliachwa kwa mkopo St. Etienne baada ya kusajiliwa aendelee kuimarika.

Club inanunua hata academy players for future, si kila mchezaji ni wa leo. Ndio maana walisajiliwa kina Luiz kwa ajili ya short term plan kuruhusu kina Saliba et al wakomae.

Age yake bado ni ndogo, ana chance ya kuimprove.

Kumekuwa na tetesi kwamba Raul Sanleih alikuwa na % zake kwenye deals za wachezaji, may be (sina hakika) ilichangia kwa kiasi fulani kuja kwake.

Huyu dogo alisajiliwa chini ya Emery, sioni tatizo Arteta akisema 'hajaiva' kulingana na mahitaji na mifumo yake.
 
Siku kadhaa nyuma niliwahi kusema kuwa mbali na Xhaka, suala la kucheza defensive midfielder huku ni left footed ni ngumu sana.

Ukitaka kuamini angalia ligi kubwa zote ulaya, ukiacha Xhaka na Fred wa united kiungo gani mwingine anacheza nafasi hiyo ambaye ni left footed?

Ninachotaka kumaanisha ni kuwa kama tunataka kumhukumu Xhaka tumpeleke kwenye nafasi yake ya AMF kwanza. Japo sometimes hajawa na ufanisi wa kutosha kwenye hiyo nafasi, lakini amejitahidi sana.

Pia kwenye 4-2-1-3 tukiwa tunashambulia Xhaka anaenda kukaba nafasi ya left full back ambaye ana overlap kushambulia, kwa hyo bado anakuwa kwenye confort zone yake.
Sidhani preferred foot inahusiana. Huenda ni coincidence ama ni statistics tu (less than 10% of people are left footed, about 30% are ambidextrous). Kwa Xhaka tunamhitaji awe anakaribia 18 ya adui zaidi ili atoe pasi fupi za kumalizia au kupiga mashuti ya kufunga maana pasi ndefu au za akiwa karibu na 18 yetu ameshazi'master' ila shida ni mbio na uwezo wa kupiga mtu chenga na kumtoroka. Akiwa nyuma ni mzuri kwa timu zinazopenda kutushambulia tukawapiga counter lakini kwa timu zinazopaki basi na kutegea kucounter tunapeleka wachezaji wengi zaidi mbele so tunamhitaji awe mbele. Naona tumepata jibu lake kwa kumuweka kwa left full back ila mimi naona hapa tunatanua sana uwanja kwa kutumia fullbacks kwa crosses ama cut-backs. Nataka kuona penetration za katikati zaidi. Yaani tunampiga mtu Wengerball kuazia nje ya 18 yake, tunaingia tunafunga kama hawapo vile. Unakumbuka like goli la Wilshere alivyowatoka Norwich na vijipasi na Cazorla na Giroud?
 
Mimi naona atacheza kwenye base ya Kiungo kama Rodri tu pale city

Box to box Partey, ,Ceballos as LCM
Kwani haiwezi kuchezwa 4 3 3 halafu hii 3 ikawa flat? Isipokua kunakua na mwingine yuko free hata kuingia ndani ya box halafu mwingine anaishia nje ya box na mwingine ana hang hapa kati ya box na dimba
 
Hao waliomnunua walikuwa wanafikiria nini?
Ni potential ,ndio maana kanunuliwa gharama kubwa €30m kwa umri wa miaka 18 ,

Huu uwekezaji sio mdogo

Kuna mabeki bado wapo kama mustafi, chamber , holding

Dogo ana miaka 19 sasa, msimu ujao atarudi kuna watu wataondoka
 
Kwani haiwezi kuchezwa 4 3 3 halafu hii 3 ikawa flat? Isipokua kunakua na mwingine yuko free hata kuingia ndani ya box halafu mwingine anaishia nje ya box na mwingine ana hang hapa kati ya box na dimba
Huyo mwingine Mara nyingi anakuwa LCM na hapo ndio namuona Akicheza Ceballos au Willian au Saka pia
 
In 2020, Arsenal have won 73% of domestic games when Xhaka has completed 90 mins, as opposed to a 25% win rate when he does not complete the full 90.
 
According to @DuncanCastles ..

Mesut Ozil rejected a huge millions offer from Saudi Arabia due to political relations between Turkey and Saudi Arabia ..View attachment 1595135
Miongoni mwa vijana wachache mno wenye uwezo wa kusimamia wanachokiamini.

The future is very bright for this guy, be it in football or in other field.
 
Arsenal kupitia Digital inaingiza wastani wa billioni 2.3 kwa mwezi. Pesa hizi zinatokana na mitandao ya YouTube, Facebook, Twitch na Dugout.

Ni sawa na kusema mambo ya YouTube au Instagram hayana msaada kwa Diamond Platnumz.

Each post unayoitizama imewahusisha Santa Rita and mainly katika birthday issues inaingiza millioni 203 kwa klabu.

Arsenal ni Organization, Arsenal ni Kampuni, Arsenal ni Chuo, Arsenal ni timu, Arsenal ni familia.
Nadhani Sizinga ana uelewa tu mdogo kwenye mambo ya social media
 
Miongoni mwa vijana wachache mno wenye uwezo wa kusimamia wanachokiamini.

The future is very bright for this guy, be it in football or in other field.
Huyu jamaa nahisi anahamia Uturuki mazima. Kaoa Miss Uturuki flani na rais wa Uturuji ndiye best man wake. Kifupi si mtu mdogo kivile. Ingawa waturuki nao ni wahuni flani kwenye siasa...
 
Aaron Arsenal nimefuatilia sana namna unavyomzungumzia na kumchukulia Özil. Inaonekana wazi chuki kubwa uliyonayo dhidi ya Mesut ni concerning his religion! Yes, Özil anasamamia anachokiamini (Islam) kama wewe unavyosimamia unachokiamini (Sabath) na mimi ninachokiamini (Non-Affiliated), anachofanya Mesut nashangaa dunia kukiona kitu cha ajabu na kutanabaisha like Politics yes! dini ni politics but #BlackLivesMatter ni politics too. Kama Black Lives Matter ni humanity case same Ughur scenario ni humanity.

Leo hii watu wanajadiri Mesut alikutana na Erdoğan so what?! Mbona Walcott, Wilshire, Gibbs, Chamberlain, Jenkison na Ramsey walikutana na Cameron? Mbona Aubameyang alikutana na Ali Bongo? Mbona Mustafi alikutana na Ilir Meta wa footprint roots zake Albania na still ni Germany Passport Holder? mbona Xhaka amekutana na Simonetta Myriam Sommaruga. Why Ozil then?! Leo hii mmejitoa ufahamu Henrik Mkhitaryan alikutana na Armen rais wa Armenia mbona hamkuuliza? Well Mkhitaryan huyo huyo currently unaona hii post yupo anafanya situation hiyo hiyo kwa Azerbaijan na Turkey mbona watu hamsemi ni politics?

View attachment 1595695

View attachment 1595700

Politics? Mbona Arsenal walimsapoti Henrikh?!

Generally Özil is there na remember ni top 15 Footballers wenye ukwasi wa juu, hivyo haimsumbui na haina impact chuki mifano ya kwako ni dumbs tu. Kila myu asimamie anchoaamini, kinachofaa au chenye maslahi kwake.
Mkuu kama ulikuwa hujui Aaron Arsenal ana chuki iliyopitiliza juu ya uislam
 
Hii inshu ya Saliba binafsi nimeshindwa kumuelewa Arteta na benchi lake la Ufundi.

Tulimsajiri Saliba ili kuunda msingi imara wa CBs maana ni moja ya eneo tulilokua tupo vibaya. Tukamuacha msimu mmoja ili ajijenge na kumuongezea uzoefu.

Now amerudi + usajili wa Gabriel wengi tukajua itaundwa pair baina yao na hii kuwa core ya defense kwa miaka mingi ijayo. Ajabu Arteta anadai Saliba bado hayupo sawa, anahitaji muda zaidi hivyo atolewe kwa mkopo.

Hii kwangu naona haipo sawa;
Angepewa nafasi kwenye timu acheze mechi baadhi za epl+ mechi kadhaa za fa, carbao au ueropa. Hii ingemuongezea kujiamini pia ku-adapt mifumo mbalimbali ya mwalimu. Kumpeleka timu za championship huko ni kumtumia vibaya refers Chambers.

Bado tuna shida ya CBs, kukaa kumtegemea Luiz ambaye hana misimu 2 mbele au kuwategemea Chambers, Holding na mwezao Mustafi ambao ni injury prone ni kujitafutia matatizo.

Muda ni Mwalimu mzuri ngoja tusubiri tuone ila kwa hili binafsi sijaafikiana na Arteta.
Tena kutokana na potential aliyokuwa nayo saliba na khofu ya competition kutoka vitabu vyengine tulikubali kumsajili halafu kumtoa mkopo kwao wenyewe ili wafurahi. Leo wanatuambia eti hayuko tayari??? Mmmhhh
 
Nilisoma kuwa Real Madrid hawajasajili kwa mara ya kwanza kwa miaka 20. Alafu Lyon walitaka 20m (sikumbuki ni euros ama pounds) kwa Barcelona kwa Depay ila Barca hawakuwa nayo. Nikawaza mawili. 1. Hii Corona imefanya uharibifu mkubwa kiasi kwamba kwenye soka la mbele pesa tunayoiona ni ndogo kwa timu za huko, achana na timu kubwa kama Barca na Madrid, imekuwa pesa kubwa mno. 2. Lyon wamemtaminishaje Aouar hadi wakamuona ni bei 3x ya Depay? Ni kwa sababu sisi tulimtaka na hawakusikia kuwa mzee wa madili Don Raul ameshaondoka kwetu? Ndiyo maana naona matajiri wetu waliamua kutukopesha kwa ajili ya Partey.
 
Nilisoma kuwa Real Madrid hawajasajili kwa mara ya kwanza kwa miaka 20. Alafu Lyon walitaka 20m (sikumbuki ni euros ama pounds) kwa Barcelona kwa Depay ila Barca hawakuwa nayo. Nikawaza mawili. 1. Hii Corona imefanya uharibifu mkubwa kiasi kwamba kwenyw soka la mbele pesa tunayoiona ni ndogo kwa timu za huko, achana na timu kubwa kama Barca na Madrid, imekuwa pesa kubwa mno. 2. Lyon wamemtaminishaje Aouar hadi wakamuona ni bei 3x ya Depay? Ni kwa sababu sisi tulimtaka na hawakusikia kuwa mzee wa madili Don Raul ameshaondoka kwetu? Ndiyo maana naona matajiri wetu waliamua kutukopesha kwa ajili ya Partey.
Corona imepiga sana Timu hasa kubwa ,zenye mishahara mikubwa na bajeti kubwa

Barca alishushiwa bei ya Eric Garcia had £18m akashindwa ....
 
Back
Top Bottom