Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,242
- 76,781
Huyu Ceballos akiwa Madrid alicheza kama CMF. Kaja Arsenal akwa CMF pia.Sasa unamzungumzia emery aliyewavuruga wachezaji karibu wote?
Unampima ceballos kwa Emery kama AM ?
Umesahau emery alitumia kila mechi mfumo wake , hadi Toreira amechez no.10 ,kwa Emery
Ceballos namzungumzia wa Betis kwa Setien na Spain , anacheza AM ,LCM na LW , ana create chances , anapiga mashuti , hebu kamfatilie vzr Ceballos as AM/LCM au LW
Yaani unataka kumuhukumu ceballos kwasababu ya Kocha wa Ovyo emery?
Now tusibase sana kwenye kumuangalia Emery na failures zake na Ceballos na passes zake.
Kuna post hapo juu nimeiandika.
Kwa sasa mi naishia hapa.