Aaron Arsenal nimefuatilia sana namna unavyomzungumzia na kumchukulia Özil. Inaonekana wazi chuki kubwa uliyonayo dhidi ya Mesut ni concerning his religion! Yes, Özil anasamamia anachokiamini (Islam) kama wewe unavyosimamia unachokiamini (Sabath) na mimi ninachokiamini (Non-Affiliated), anachofanya Mesut nashangaa dunia kukiona kitu cha ajabu na kutanabaisha like Politics yes! dini ni politics but #BlackLivesMatter ni politics too. Kama Black Lives Matter ni humanity case same Ughur scenario ni humanity.
Leo hii watu wanajadiri Mesut alikutana na Erdoğan so what?! Mbona Walcott, Wilshire, Gibbs, Chamberlain, Jenkison na Ramsey walikutana na Cameron? Mbona Aubameyang alikutana na Ali Bongo? Mbona Mustafi alikutana na Ilir Meta wa footprint roots zake Albania na still ni Germany Passport Holder? mbona Xhaka amekutana na Simonetta Myriam Sommaruga. Why Ozil then?! Leo hii mmejitoa ufahamu Henrik Mkhitaryan alikutana na Armen rais wa Armenia mbona hamkuuliza? Well Mkhitaryan huyo huyo currently unaona hii post yupo anafanya situation hiyo hiyo kwa Azerbaijan na Turkey mbona watu hamsemi ni politics?
View attachment 1595695
View attachment 1595700
Politics? Mbona Arsenal walimsapoti Henrikh?!
Generally Özil is there na remember ni top 15 Footballers wenye ukwasi wa juu, hivyo haimsumbui na haina impact chuki mifano ya kwako ni dumbs tu. Kila myu asimamie anchoaamini, kinachofaa au chenye maslahi kwake.