Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huwez kujua faida yake hadi siku utakapoelewa nini maana ya Fan base katika ulimwengu wa soka ...
Kipindi hiki cha Corona fan base has nothing to do with football, ndomana Liverpool na Man U wamekuwa wepesi sana uwanjani ambapo kuna real fans, hizo takwimu have nothing to do by now... Mambo ya Facebook hayajawa na msaada kwa timu yoyote bro
 
Hii kitu haitusaidii sana kwenye mbio za ubingwa, ni takwimu zisizo na faida yoyote
Inasaidia indirectly.

Seems Arsenal fans wameanza kurudisha imani kwa timu.

Inapandisha morali ya timu.

Kufikia mwezi uliopita jezi iliyokua inauza sana ni ya Arsenal ikiwa imeipiku jezi ya liva. Hiyo pesa itatumika kuendeshea timu na usajili.

Usajili unaleta wachezaji.

Wachezaji wanaleta makombe.

So it does.

Meanwhile wachezaji 2 wapya timu ya wanawake ya Man u jezi zao zimeuza juliko jezi za timu nzima ya wanaume kwa mwezi uliopita.

Unadhani maguire anajisikiaje? Atoke kupigwa sita halafu sokoni kumekua hivyo
 
Kipindi hiki cha Corona fan base has nothing to do with football, ndomana Liverpool na Man U wamekuwa wepesi sana uwanjani ambapo kuna real fans, hizo takwimu have nothing to do by now... Mambo ya Facebook hayajawa na msaada kwa timu yoyote bro
Mimi siamini kama uwepo wa mashabiki unasaidia timu kushinda.

Bayern anavyopiga wenzake 8 anakua na mashabiki gani? Aston Villa na Tottenham? Walikua na mashabiki?
 
Kipindi hiki cha Corona fan base has nothing to do with football, ndomana Liverpool na Man U wamekuwa wepesi sana uwanjani ambapo kuna real fans, hizo takwimu have nothing to do by now... Mambo ya Facebook hayajawa na msaada kwa timu yoyote bro
Arsenal kupitia Digital inaingiza wastani wa billioni 2.3 kwa mwezi. Pesa hizi zinatokana na mitandao ya YouTube, Facebook, Twitch na Dugout.

Ni sawa na kusema mambo ya YouTube au Instagram hayana msaada kwa Diamond Platnumz.

Each post unayoitizama imewahusisha Santa Rita and mainly katika birthday issues inaingiza millioni 203 kwa klabu.

Arsenal ni Organization, Arsenal ni Kampuni, Arsenal ni Chuo, Arsenal ni timu, Arsenal ni familia.
 
Saliba alitaka kurudi ufaransa akawe karibu na familia yake. Haswa baada ya kufiwa.

Hiyo ni taarifa ya kwanza.

Saliba anatakiwa apate game time kwakua hajawa tayari kucheza epl.

Hii ni taarifa ya pili.

Leicester wamemsajili Fofana na ameingia moja kwa moja kwenye kikosi cha leicester kwenye ligi. Na anaperform.

Saliba na Fofana walikua timu moja, Saliba akimuongoza Fofana, Saliba na Magalhaes wametoka ligi moja na unajua nani ana takwimu nzuri kumzidi mwenzake wakiwa Ligue 1? Ni Saliba.

Takwimu zake zinamuweka miongoni mwa mabeki bora kati ya hizi ligi tano za Europe. Gabriel kafika moja kwa moja kikosini, Fofana kafika moja kwa moja kikosini Saliba huu ni msimu wake mwingine kuna watu wanazusha hayupo tayari.

Mi naiamini ile taarifa ya kwanza. Hii ya pili sina imani nayo. Ila kumpeleka Championship ni kumpoteza, he is good.

Akiwa anajiandaa kuanza kwenye kikosi cha kwanza alinyoa mpaka nywele ili akiruka header nywele zisiharibu dynamic ya mpira.

Ngoja nisubiri nione.
 
Shukran sana kwa kumfafanulia umuhimu wa hizi social media
 
Kama China inafanya aliyoyasema Ozil mi Niko na Ozil

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Umeona mchezaji mwingine ambaye yupo na Ozil? Ni Demba Ba, ambaye najua hata haujui anachezea timu gani. Of koz hata mimi sijui kwakua kasahaulika.

Mustafi ni muislam, Salah ni muislam, Mane ni muislam, Pogba pia lakini kwanini haujawasikia?

Kuna mataifa yanaendeshwa kiislamu. Umesikia yakisemea hilo swala?

Anyway, katika maisha huwezi kusave vyote ameamua kuongea at the cost of his career. Ndivyo ilivyo hata aliyeanzisha mtindo wa kupiga goti ili kugomea unyanyasaji wa askari wa marekani, Kaepernick, na yeye ilimgharimu career yake.
 
Kama hao wachezaji waislamu uliowataja wanaangalia maslahi zaidi ? Je ni jambo bora kutanguliza maslahi badala ya utu?

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Kama hao wachezaji waislamu uliowataja wanaangalia maslahi zaidi ? Je ni jambo bora kutanguliza maslahi badala ya utu?

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Hapana lakini umewahi sikia "Baniani mbaya ...?"

Ozil ana taasisi nyingi za hisani, anajitoa kwa jamii kuliko Aubameyang kuliko Mane wa liva nahisi hapa hakupima vizuri.
 
Happy Birthday to Tony Adams, the only player in English football history to have captained a title-winning team in three different decades #MrArsenal
IMG_20201010_105848.jpg
IMG_20201010_105851.jpg
IMG_20201010_105853.jpg
IMG_20201010_105855.jpg
 
Kama hao wachezaji waislamu uliowataja wanaangalia maslahi zaidi ? Je ni jambo bora kutanguliza maslahi badala ya utu?

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Kuna mstari unatenganisha siasa na mpira(mchezo wowote).
Siasa ndo kila kitu inaongoza dunia na sisi wanamichezo tukiwemo.
Arsenal haikumsapoti ozil coz wanasema eti hawaingilii siasa na hilo lipo wazi, wanamichezo tunasubili wanasiasa wamesemaje then tuna act kwa pamoja.

Sio mtu mmoja mmoja kukaa nyumbani kwake kaona kitu kwenye tv akapost twitter then utegemee back up ya club....hio haiwezekani.

Kama wew ni mwanamichezo utasubiri amri kutoka juu then ufuate sio vice versa.
Siasa ni mchezo mchafu sio vizuri kuingia kichwa kichwa.
Kwa hili suala la ozil mim nipo upande wa arsenal.
 
Saliba alitaka kurudi ufaransa akawe karibu na familia yake. Haswa baada ya kufiwa.

Hiyo ni taarifa ya kwanza.

Saliba anatakiwa apate game time kwakua hajawa tayari kucheza epl.

Hii ni taarifa ya pili.

Leicester wamemsajili Fofana na ameingia moja kwa moja kwenye kikosi cha leicester kwenye ligi. Na anaperform.

Saliba na Fofana walikua timu moja, Saliba akimuongoza Fofana, Saliba na Magalhaes wametoka ligi moja na unajua nani ana takwimu nzuri kumzidi mwenzake wakiwa Ligue 1? Ni Saliba.

Takwimu zake zinamuweka miongoni mwa mabeki bora kati ya hizi ligi tano za Europe. Gabriel kafika moja kwa moja kikosini, Fofana kafika moja kwa moja kikosini Saliba huu ni msimu wake mwingine kuna watu wanazusha hayupo tayari.

Mi naiamini ile taarifa ya kwanza. Hii ya pili sina imani nayo. Ila kumpeleka Championship ni kumpoteza, he is good.

Akiwa anajiandaa kuanza kwenye kikosi cha kwanza alinyoa mpaka nywele ili akiruka header nywele zisiharibu dynamic ya mpira.

Ngoja nisubiri nione.
Nimecheka sana ulivyomaliza hapo
 
Kipindi hiki cha Corona fan base has nothing to do with football, ndomana Liverpool na Man U wamekuwa wepesi sana uwanjani ambapo kuna real fans, hizo takwimu have nothing to do by now... Mambo ya Facebook hayajawa na msaada kwa timu yoyote bro
Umesema?
 
Mkuu haujatumia kilevi chochote tangu asubuhi?
 
Aaron Arsenal nimefuatilia sana namna unavyomzungumzia na kumchukulia Özil. Inaonekana wazi chuki kubwa uliyonayo dhidi ya Mesut ni concerning his religion! Yes, Özil anasamamia anachokiamini (Islam) kama wewe unavyosimamia unachokiamini (Sabath) na mimi ninachokiamini (Non-Affiliated), anachofanya Mesut nashangaa dunia kukiona kitu cha ajabu na kutanabaisha like Politics yes! dini ni politics but #BlackLivesMatter ni politics too. Kama Black Lives Matter ni humanity case same Ughur scenario ni humanity.

Leo hii watu wanajadiri Mesut alikutana na Erdoğan so what?! Mbona Walcott, Wilshire, Gibbs, Chamberlain, Jenkison na Ramsey walikutana na Cameron? Mbona Aubameyang alikutana na Ali Bongo? Mbona Mustafi alikutana na Ilir Meta wa footprint roots zake Albania na still ni Germany Passport Holder? mbona Xhaka amekutana na Simonetta Myriam Sommaruga. Why Ozil then?! Leo hii mmejitoa ufahamu Henrik Mkhitaryan alikutana na Armen rais wa Armenia mbona hamkuuliza? Well Mkhitaryan huyo huyo currently unaona hii post yupo anafanya situation hiyo hiyo kwa Azerbaijan na Turkey mbona watu hamsemi ni politics?

Mkhi Letter.jpg

Screenshot_16.png

Politics? Mbona Arsenal walimsapoti Henrikh?!

Generally Özil is there na remember ni top 15 Footballers wenye ukwasi wa juu, hivyo haimsumbui na haina impact chuki mifano ya kwako ni dumbs tu. Kila myu asimamie anchoaamini, kinachofaa au chenye maslahi kwake.
 
Saliba alitaka kurudi ufaransa akawe karibu na familia yake. Haswa baada ya kufiwa.

Hiyo ni taarifa ya kwanza.

Saliba anatakiwa apate game time kwakua hajawa tayari kucheza epl.

Hii ni taarifa ya pili.

Leicester wamemsajili Fofana na ameingia moja kwa moja kwenye kikosi cha leicester kwenye ligi. Na anaperform.

Saliba na Fofana walikua timu moja, Saliba akimuongoza Fofana, Saliba na Magalhaes wametoka ligi moja na unajua nani ana takwimu nzuri kumzidi mwenzake wakiwa Ligue 1? Ni Saliba.

Takwimu zake zinamuweka miongoni mwa mabeki bora kati ya hizi ligi tano za Europe. Gabriel kafika moja kwa moja kikosini, Fofana kafika moja kwa moja kikosini Saliba huu ni msimu wake mwingine kuna watu wanazusha hayupo tayari.

Mi naiamini ile taarifa ya kwanza. Hii ya pili sina imani nayo. Ila kumpeleka Championship ni kumpoteza, he is good.

Akiwa anajiandaa kuanza kwenye kikosi cha kwanza alinyoa mpaka nywele ili akiruka header nywele zisiharibu dynamic ya mpira.

Ngoja nisubiri nione.
Hii inshu ya Saliba binafsi nimeshindwa kumuelewa Arteta na benchi lake la Ufundi.

Tulimsajiri Saliba ili kuunda msingi imara wa CBs maana ni moja ya eneo tulilokua tupo vibaya. Tukamuacha msimu mmoja ili ajijenge na kumuongezea uzoefu.

Now amerudi + usajili wa Gabriel wengi tukajua itaundwa pair baina yao na hii kuwa core ya defense kwa miaka mingi ijayo. Ajabu Arteta anadai Saliba bado hayupo sawa, anahitaji muda zaidi hivyo atolewe kwa mkopo.

Hii kwangu naona haipo sawa;
Angepewa nafasi kwenye timu acheze mechi baadhi za epl+ mechi kadhaa za fa, carbao au ueropa. Hii ingemuongezea kujiamini pia ku-adapt mifumo mbalimbali ya mwalimu. Kumpeleka timu za championship huko ni kumtumia vibaya refers Chambers.

Bado tuna shida ya CBs, kukaa kumtegemea Luiz ambaye hana misimu 2 mbele au kuwategemea Chambers, Holding na mwezao Mustafi ambao ni injury prone ni kujitafutia matatizo.

Muda ni Mwalimu mzuri ngoja tusubiri tuone ila kwa hili binafsi sijaafikiana na Arteta.
 
Inasaidia indirectly.

Seems Arsenal fan wameanza kurudisha imani kwa timu.

Inapandisha morali ya timu.

Kufikia mwezi uliopita jezi iliyokua inauza sana ni ya Arsenal ikiwa imeipiku jezi ya liva. Hiyo pesa itatumika kuendeshea timu na usajili.

Usajili unaleta wachezaji.

Wachezaji wanaleta makombe.

So it does.

Meanwhile wachezaji 2 wapya timu ya wanawake ya Man u jezi zao zimeuza juliko jezi za timu nzima ya wanaume kwa mwezi uliopita.

Unadhani maguire anajisikiaje? Atoke kupigwa sita halafu sokoni kumekua hivyo
😁😁Umefafanua vema, kudos bro COYG
 
Aaron Arsenal nimefuatilia sana namna unavyomzungumzia na kumchukulia Özil. Inaonekana wazi chuki kubwa uliyonayo dhidi ya Mesut ni concerning his religion! Yes, Özil anasamamia anachokiamini (Islam) kama wewe unavyosimamia unachokiamini (Sabath) na mimi ninachokiamini (Non-Affiliated), anachofanya Mesut nashangaa dunia kukiona kitu cha ajabu na kutanabaisha like Politics yes! dini ni politics but #BlackLivesMatter ni politics too. Kama Black Lives Matter ni humanity case same Ughur scenario ni humanity.

Leo hii watu wanajadiri Mesut alikutana na Erdoğan so what?! Mbona Walcott, Wilshire, Gibbs, Chamberlain, Jenkison na Ramsey walikutana na Cameron? Mbona Aubameyang alikutana na Ali Bongo? Mbona Mustafi alikutana na Ilir Meta wa footprint roots zake Albania na still ni Germany Passport Holder? mbona Xhaka amekutana na Simonetta Myriam Sommaruga. Why Ozil then?! Leo hii mmejitoa ufahamu Henrik Mkhitaryan alikutana na Armen rais wa Armenia mbona hamkuuliza? Well Mkhitaryan huyo huyo currently unaona hii post yupo anafanya situation hiyo hiyo kwa Azerbaijan na Turkey mbona watu hamsemi ni politics?

View attachment 1595695

View attachment 1595700

Politics? Mbona Arsenal walimsapoti Henrikh?!

Generally Özil is there na remember ni top 15 Footballers wenye ukwasi wa juu, hivyo haimsumbui na haina impact chuki mifano ya kwako ni dumbs tu. Kila myu asimamie anchoaamini, kinachofaa au chenye maslahi kwake.
Aaron analeta kila taarifa, hachambui. Akikuta mtu kamsimanga Ozil analeta kama ilivyo tendo jema la Ozil kuofa kumlipa Jerry Quy.

Aliyekuja kusema Ozil anatafuta huruma ya fans ni member mwingine kabisa. Mimi nilisema Ozil anaponzwa na kujihusisha na hii ishu ya Uighur aliyekuja kupinga kwamba ni uongo isipokua mshahara na formation ndiyo vinamnyima namba ni Aaron.

So kusema Aaron ana chuki na Ozil hapana. Sidhani.

Kuhusu hao wachezaji wengine hao viongozi waliopiga nao picha wana influence gani kiuchumi duniani? Hollywood nzima imehamia China usishangae muvi za siku hizi kuona hata sura mbili tatu za kichina ukadhani ni bahati mbaya ni mkakati.

So taasisi zinajua alliance na China ni surefire way ya kutengeneza mpunga mrefu.

Sasa wakina Bongo na wenzake wanaweza influence ulimwengu?
 
Back
Top Bottom