Yah klabu ilimkatalia ,
Ujue hata hizo Black lives Matter ,sio klabu inajiamulia ,kuna watu Nyuma ya pazia ndio wanazianzisha then Klabu zote zinafata
Ozil alitaka Arsenal wazame kwenye hilo sakata la China
Nadhan Kama unakumbuka Walimuondoa Ozil kwenye PES huko China, Na Arsenal ilikuwa inaingiza hela nyingi sana kupitia Ozil
Hata Huo mkataba wa £350,000 walimpa sio kimakosa ,sababu alikuwa Anaiingizia klabu pesa kupitia Jezi, Na Image yake
Maana hata Adidas Walimkimbia Ozil,Hawakumuongezea mkataba tena , pia kumbuka Adidas wanaidhamini Arsenal poa,So Ozil akabaki na Brand yake binafsi, ya M10.
Hili swala limekaa Kimsalahi sana , Arteta hausiki wala hana bifu nae,Jana tumeona mazoezi wakisalimiana vzr tu