Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Anapayukwa tuMkuu samahani, unaujua mpira na kuufatilia mpira wa kizazi hiki vzuri?
Anapayukwa tuMkuu samahani, unaujua mpira na kuufatilia mpira wa kizazi hiki vzuri?
Kuna wachezaji hawafai kabisa kuichezea Arsenal na wanapaswa kuuzwa iwe ni kwa kulazimisha au hiari!!
Kila siku huwa nasema Lacazette siyo mchezaji anayepaswa kucheza Arsenal,sijajua hii Taka taka waliokotea wapi,Hv foward unajua kabisa mmeshafungwa goli unapata nafasi kama ile unashindwa kufunga,Hii siyo foward bali ni kopo la chooni la kujichambia!!
WACHEZAJI WANAOPASWA KUONDOKA ARSENAL IWE NI HIARI AMA LAZIMA
1.LACAZETTE
2.PEPE
3.ELNENY
4.DAVID LUIS
5.BELELIN
HIZI TAKA - TAKA ZOTE INAPASWA ZIONDOKE HAPO
Arteta pia inapaswa abadilike mbwa yule,haiwezekani unasajili beki kwa gharama kubwa kama GABRIEL halafu unamwacha nje,unawezaje kumwacha nje mkata umeme kama Cebalos?,Angalia Alipo ingia namna gemu ilivyobadilika kwa upande wetu japo hatukupata goli lakini unaona kabisa anaichezesha timu!!,Hii gemu huyu Arteta asingewachezesha hao matahira wenzie tulikuwa tunapata sare!
NIMEUMIA SANA!
Nimewaza sana sema nimeamua kukaa kimya. Torreira anakichafua sana sielewi nini kinatokea. Hii game hata angeanza Torreira na mmoja kati ya Elneny/xhaka nakuhakikishia Pale kati kingechafuka
kweli umeumia ndugu yangu hadi Elneny na Luiz umewaon viazi. pole sana mkuuKuna wachezaji hawafai kabisa kuichezea Arsenal na wanapaswa kuuzwa iwe ni kwa kulazimisha au hiari!!
Kila siku huwa nasema Lacazette siyo mchezaji anayepaswa kucheza Arsenal,sijajua hii Taka taka waliokotea wapi,Hv foward unajua kabisa mmeshafungwa goli unapata nafasi kama ile unashindwa kufunga,Hii siyo foward bali ni kopo la chooni la kujichambia!!
WACHEZAJI WANAOPASWA KUONDOKA ARSENAL IWE NI HIARI AMA LAZIMA
1.LACAZETTE
2.PEPE
3.ELNENY
4.DAVID LUIS
5.BELELIN
HIZI TAKA - TAKA ZOTE INAPASWA ZIONDOKE HAPO
Arteta pia inapaswa abadilike mbwa yule,haiwezekani unasajili beki kwa gharama kubwa kama GABRIEL halafu unamwacha nje,unawezaje kumwacha nje mkata umeme kama Cebalos?,Angalia Alipo ingia namna gemu ilivyobadilika kwa upande wetu japo hatukupata goli lakini unaona kabisa anaichezesha timu!!,Hii gemu huyu Arteta asingewachezesha hao matahira wenzie tulikuwa tunapata sare!
NIMEUMIA SANA!
Mkuu hadi Auba the king?![]()
kweli umeumia ndugu yangu hadi Elneny na Luiz umewaon viazi. pole sana mkuu
At least niliowapoint kama shit mpaka sasa hivi nawakumbuka na ndiyo haohao nitawataja leo.hata wewe jana uliumia, ukawa emotional ......hehehehehe
Ile ya diogo jota ikanikumbusha ya kai havertz na goli la tatu la chelseaYes, Liverpool kashinda na hongera. Lakini ni vyema kuwakumbusha Premier League na Officials & VAR Committee kutoharibu football hasa Liverpool, United Games + against English players.
• Sadio Mane (Red Card)?
• Alexander-Arnold (Red Card)?
• Diogo Jota (Handball)?
I don't know ... cc. Don Clericuzio King Ngwaba
Kufikia Liverpool level lazima Utoboke mifuko uweke helaAt least niliowapoint kama shit mpaka sasa hivi nawakumbuka na ndiyo haohao nitawataja leo.
We are doing fine.
chelsea na man u wanatoboka mfuko lakini wanatia aibuKufikia Liverpool level lazima Utoboke mifuko uweke hela
hamna sehemu nilisema hii game tunashinda. Ila nilisema naprefer point kutoka katika meetings zetu na hawa jamaa. Arteta alikua wazi tangu day one alisema "tuna misimu 3 kabla ya kua na timu ya kugombea ligi"
Souness akasema "Arsenal haionyeshi kama ni mshindani wa ligi labda short term tournament" kuna jamaa aliandika humu kua msimu huu ligi yetu nikamjibu "Arsenal haina mpango na ubingwa" so kama kuna mtu anadhani eti hii loss ni pigo kwa Arsenal au bodi anajidanganya, labda mashabiki kwakua tunataka kutambiana lakini kocha na kikosi wao wanajifunza.
kuna plastic fan mmoja wa chelsea (hata kumtaja naona uvivu) kamuambia plastic mwenzie kwamba tunakutana na liva Alhamisi halafu mwenzake akajibu "Liva hayupo serious na Carabao ndiyo maana anachezesha kikosi cha pili"
Game na Leicester Arsenal tulianzisha regular starters wa first XI watatu tu. liva akicheza na ile timu ambayo najua mshaisahau jina alinzisha watano akiwemo Van Dijk sisi Gabriel ambaye definitely alihitaji game time alikua benchi. Auba, Ceballos, Guendouz, Ozil, Tierney hata kwenye benchi hawakuwepo.
dzinga
Yes, Liverpool kashinda na hongera. Lakini ni vyema kuwakumbusha Premier League na Officials & VAR Committee kutoharibu football hasa Liverpool, United Games + against English players.
• Sadio Mane (Red Card)?
• Alexander-Arnold (Red Card)?
• Diogo Jota (Handball)?
I don't know ... cc. Don Clericuzio King Ngwaba
Lengo lake kumpa elbow ya mwili lkn sio ya. USO ile imetokea bahati mbaya maana alikuwa anaconcentrate na mpiraYah sikucheki game ila ile elbow ya Mane ilikuwa ni intensional aisee, alistahili red card. Hizo nyingine sikuziona kwenye highlights.
Mkuu unajua kujipa moyoHata hivyo msijifanye mmesahau huu ndiyo msimamo wa Ligi. Watafute majirani zetu Chelsea, Tottenham na wale wengine wale.
Hapo kunatakiwa kuwe na Formula ya Kocha mzuri Vs Kuweka Hela upate Quality playerschelsea na man u wanatoboka mfuko lakini wanatia aibu
Aroon Ramsey yuko wapi jamani?
Kwa kuzingatia discipline yake mazingira yale yanaweza kumpa benefit of doubt kwa kuwa si mtu wa rafu kwenye game.Lengo lake kumpa elbow ya mwili lkn sio ya. USO ile imetokea bahati mbaya maana alikuwa anaconcentrate na mpira
Poleni wana arsenal wenzangu kwa matokeo haya.Mpira ni mchezo wa makosa.
Tumepata nafasi tumetumia chache na tumefanya makosa yametugharimu.
Ni matumaini yangu kuwa Liverpool walikuwa na hasira na msiba wa juzi ndiyo maana game ilikuwa ngumu pande zote.
Thanks to all arsenal fans. Tuna timu nzuri na tutafanya vyema next game.
Mungu ibariki arsenal Mungu tubariki arsenal fans tuendelee kuwa na umoja wetu.
We are the gunners forever.
Sent using Jamii Forums mobile app


