Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yes, Liverpool kashinda na hongera. Lakini ni vyema kuwakumbusha Premier League na Officials & VAR Committee kutoharibu football hasa Liverpool, United Games + against English players.

• Sadio Mane (Red Card)?
• Alexander-Arnold (Red Card)?
• Diogo Jota (Handball)?

I don't know ... cc. Don Clericuzio King Ngwaba

Nadhani sijaelewa point yako hapa.
 
Adjustments.jpg
 
Yes, Liverpool kashinda na hongera. Lakini ni vyema kuwakumbusha Premier League na Officials & VAR Committee kutoharibu football hasa Liverpool, United Games + against English players.

• Sadio Mane (Red Card)?
• Alexander-Arnold (Red Card)?
• Diogo Jota (Handball)?

I don't know ... cc. Don Clericuzio King Ngwaba

Mkuu kama lacazete kapata clear chance 2 anashindwa kufunga,acha lawama za kijinga.

Unategemea mwenzio awe pungufu ndio ushinde?
 
Waacheni vijana warudi London wapumzishe akili alafu wajipange upya.Tuna nafasi nyingine ya kuwaua hawa majogoo kesho kutwa tu 😀😀 . Wawaambie wake zao wasonge tu ugali mboga inakuja 😀😀
 
Umeongea ukweli kwa kiasi kikubwa, tatizo mashabiki wengi wanadhani ubingwa ni jambo jepesi tu, yaani wenzio wamejipanga kwa misimu kadhaa na wana invest kwenye vikosi we uje from nowhere kisa tu unafundishwa na Arteta?!

Ukiwaambia watu watakupa mfano wa Leicester, ile timu ilikuwa na consistence week in week out, tatizo tu ni kuwa haikuwa favourite kwa watu almost wote ila in terms of perfomance walistahili ubingwa.

Tukubali Liver kwa sasa sio level yetu japo tukikutana naye tutapambana kwa kadri ya uwezo wetu kama ambavyo tumewahi kuwasimamisha na ubora wao.

Arsenal is still a work in progress, given time and funds things will be okay. Kutarajia makubwa kwa sasa ni kujiumiza kama washabiki, wakitu surprise no problem tunafurahi ila wakiharibu tusipoteane.

Mkuu swala la kufungwa ndio linakufanya ulekebishe mapungufu yako,Liverpool wamewekeza sana na walikuwa wanafungwa ila hayo mapungufu yao wakawa wanayafanyia kazi taratibu mpaka leo wanaonekana wako vizuri.

Arsenal inaonekana ndio wameanza kuwa mizuri tatizo mashabiki wanataka washinde mechi zote.

Kama walipata 2 clear chance yaani mchezaji yeye na kipa anashindwa kufunga sasa hapo inaonesha timu iko vizuri ila hayo makosa yafanyiwe kazi.

Tatizo lingine ni kwamba timu inamtegemea mtu mmoja yaani star ni mmoja,hapo inakuwa ngumu sana kupata ushindi maana wakimzibiti huyo hao wengine hata wakibaki na kipa hawawezi kufunga.

Inatakiwa waje wachezaji wa kutegemewa.
 
Waacheni vijana warudi London wapumzishe akili alafu wajipange upya.Tuna nafasi nyingine ya kuwaua hawa majogoo kesho kutwa tu 😀😀 . Waambe wake zao wasonge tu ugali mboga inakuja 😀😀

Uzuri wake huwa hatuogopi maneno matupu.
 
Marefa hawajui?
VAR inafavor baadhi ya timu?

Mane alistahili redcard
Jota handball

Lacazette sijui tumepigwa hapa..

Two clear chances...
 
Yes, Liverpool kashinda na hongera. Lakini ni vyema kuwakumbusha Premier League na Officials & VAR Committee kutoharibu football hasa Liverpool, United Games + against English players.

• Sadio Mane (Red Card)?
• Alexander-Arnold (Red Card)?
• Diogo Jota (Handball)?

I don't know ... cc. Don Clericuzio King Ngwaba
Mkuu football ni game of rules na walioziweka sio wajinga. Hakuna mtu anayesema wawe pungufu ndio wafungwe kwani last time tunawafunga walikuwa pungufu?

Juzi wamemfunga Chelsea baada ya redcard na kabla ya redcard game ilikuwa 50/50 lakini sijaona Chelsea wanalalamika kwa sababu ilikuwa ni redcard halali kwa mujibu wa sheria .

Sasa unaona tatizo gani kama timu nyingine ikicomplain kuwa nao walifanya foul ambayo pengine ilistahili redcard au wamepata goal ambalo in the process kulikuwa na foul?

Sijaona mahali Arsenal fan anasema Liver alibebwa kushinda, lakini hizo ni moments ambazo zinaweza kuamua matokeo ya game, kilichoongelewa hata hivyo ni mapungufu ya refa na pengine VAR na siyo ya Liverpool.

Lacca pia nadhani almost fans wote wamemlaumu kwa kukosa clear chances, nayo pia siyo mapungufu ya Liverpool.
Mkuu kama lacazete kapata clear chance 2 anashindwa kufunga,acha lawama za kijinga.

Unategemea mwenzio awe pungufu ndio ushinde?
 
Marefa hawajui?
VAR inafavor baadhi ya timu?

Mane alistahili redcard
Jota handball

Lacazette sijui tumepigwa hapa..

Two clear chances...
Lacazete umesahau kuwa huwa anafunga magoli magumu .....
Sasa hivi kafunga mechi zote ...hayo matukio yanatokea tu.
 
Mkuu football ni game of rules na walioziweka sio wajinga. Hakuna mtu anayesema wawe pungufu ndio wafungwe kwani last time tunawafunga walikuwa pungufu?

Juzi wamemfunga Chelsea baada ya redcard na kabla ya redcard game ilikuwa 50/50 lakini sijaona Chelsea wanalalamika kwa sababu ilikuwa ni redcard halali kwa mujibu wa sheria .

Sasa unaona tatizo gani kama timu nyingine ikicomplain kuwa nao walifanya foul ambayo pengine ilistahili redcard au wamepata goal ambalo in the process kulikuwa na foul?

Sijaona mahali Arsenal fan anasema Liver alibebwa kushinda, lakini hizo ni moments ambazo zinaweza kuamua matokeo ya game, kilichoongelewa hata hivyo ni mapungufu ya refa na pengine VAR na siyo ya Liverpool.

Lacca pia nadhani almost fans wote wamemlaumu kwa kukosa clear chances, nayo pia siyo mapungufu ya Liverpool.
Kweli kabisa,
 
Mkuu kama lacazete kapata clear chance 2 anashindwa kufunga,acha lawama za kijinga.

Unategemea mwenzio awe pungufu ndio ushinde?
Sijatoa lawama, nimetanabaisha "Kuwakumbusha Premier League....".

Nyakati nyingine usinivalishe ujinga, isijekuwa wewe ndiye mjinga.

Kuwa na wakati mwema wenye matokeo ya ithibati kwako.
 
Yes, Liverpool kashinda na hongera. Lakini ni vyema kuwakumbusha Premier League na Officials & VAR Committee kutoharibu football hasa Liverpool, United Games + against English players.

• Sadio Mane (Red Card)?
• Alexander-Arnold (Red Card)?
• Diogo Jota (Handball)?

I don't know ... cc. Don Clericuzio King Ngwaba

Game ulitazama PlayStation? Kwa lialia hii bila shaka wewe ni mshabiki wa Yanga.
 
The agent of Lucas Torreira is now in Madrid to meet with Atlético. Negotiations on between Atléti and Arsenal to complete the agreement. #AFC are still asking for a permanent deal - Atléti are gonna make a new bid. Talks on. #Arsenal #Atleti @MatteMoretto
 
#Juventus called #Lyon yesterday for Houssem #Aouar. The Italian club wanted to know Lyon’s asking price & the status of negotiations with Arsenal. For the moment, Juve have not made an offer for the midfielder. Lyon awaits a new #Arsenal offer in the evening !
 
Back
Top Bottom