The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,097
- 102,612
Arsenal poleni sana,naona maumivu yamefika kwenye mfupa,Marehemu aliponzwa na mdomo mchafu..teh! teh!
Hee hadi Luiz tena?Mkuu siyo huyu tu,kuna Taka taka kama Lacazette,elneny,belelin,david luis ambazo inapaswa zifagiliwe mbali,



Mkuu unataka kusema hadi comrade Kipepe naye tumepigwa? Haiwezekani mkuu huyu dogo tuendelee kumpa muda ataja improve wani dei tu. May be mwisho wa msimu ujao ndio tuanze kumjaji sasa ivi bado mapema sana mkuu.Kuna wachezaji hawafai kabisa kuichezea Arsenal na wanapaswa kuuzwa iwe ni kwa kulazimisha au hiari!!
Kila siku huwa nasema Lacazette siyo mchezaji anayepaswa kucheza Arsenal,sijajua hii Taka taka waliokotea wapi,Hv foward unajua kabisa mmeshafungwa goli unapata nafasi kama ile unashindwa kufunga,Hii siyo foward bali ni kopo la chooni la kujichambia!!
WACHEZAJI WANAOPASWA KUONDOKA ARSENAL IWE NI HIARI AMA LAZIMA
1.LACAZETTE
2.PEPE
3.ELNENY
4.DAVID LUIS
5.BELELIN
HIZI TAKA - TAKA ZOTE INAPASWA ZIONDOKE HAPO
Arteta pia inapaswa abadilike mbwa yule,haiwezekani unasajili beki kwa gharama kubwa kama GABRIEL halafu unamwacha nje,unawezaje kumwacha nje mkata umeme kama Cebalos?,Angalia Alipo ingia namna gemu ilivyobadilika kwa upande wetu japo hatukupata goli lakini unaona kabisa anaichezesha timu!!,Hii gemu huyu Arteta asingewachezesha hao matahira wenzie tulikuwa tunapata sare!
NIMEUMIA SANA!
Mkuu acha tu walivyokuwa wanawapigia chapuo kina luiz , Mara cjui elneny kaimprove unaweza kuogopa, Mara holding atampocket mane yaan ni vituko tupu. Mara andaeni mabeki wa 5 wakumkaba aubaHee hadi Luiz tena?![]()
Pamoja jombaa.You deserve my compliment mkuu








Yule siyo mchezaji mkuu bali alikuwa muokota mipira huko aliko toka,inapaswa Arsenal warudi waangalie vizuri pengine labda tulibadilishiwa siyo yeye,Hakuna mchezaji anaye nikera hapo Arsenal kama PEPE na LACAZETTEMkuu unataka kusema hadi comrade Kipepe naye tumepigwa? Haiwezekani mkuu huyu dogo tuendelee kumpa muda ataja improve wani dei tu. May be mwisho wa msimu ujao ndio tuanze kumjaji sasa ivi bado mapema sana mkuu.
Kipepe mtu bhana ni swala la muda tu
Naona takataka mumepigwa


Wakuu, kesho asubuhi mimi nachukua train ya mwisho Euro Star kutokea St Pancras naelekea Lyon kuangalia ustaarabu.
Ni lazima tumsajili Houssem Aouar by Friday.
Tukutane jumapili Arsenal na Sheffield United.


unakutana na majogoo tena

Mkuu shida hao ndugu zako wanakelele kuliko uhalisia. Ndio maana ni wepesi kujipiga ban matatizo yanapotekea.Castr
DullyJr
Aaron Arsenal
Will jr
computerarsenal
14Henry
Relief Mirzska
gspain
Ndugu zanguni hii mechi kweli tumefungwa lakini maisha lazima yaendelee,katika ujengaji wa timu ajali Kama hizi lazima zitokee,
Bila shaka arteta atakua amejifunza sth juu ya style yetu ya kufanya 'build up' dhidi ya time zinazofanya press Kama Liverpool,
Laccazzette! Laccazzette! Dah!! Sijui Jana aliwaambia nini wenzake!,double open chances afu katika mechi Kama Ile hauwezi ukakosa kipuuzi vile,
Anyway let's look to another fixture.
Huyu Auba wa kukabwa na mabeki watano unataka kuniambia hana shot on/off target hata moja na nasikia alipewa mchezaji mmoja tu wa kumshughulikia!!Mkuu acha tu walivyokuwa wanawapigia chapuo kina luiz , Mara cjui elneny kaimprove unaweza kuogopa, Mara holding atampocket mane yaan ni vituko tupu. Mara andaeni mabeki wa 5 wakumkaba auba
Aubameyang in 90 mins vs LFC
0 goals
0 shots attempts
0 shots on goal
0 shots off target
0 key passes
24 touches
8 accurate passes only.
15 times possession lost



Kuna wachezaji hawafai kabisa kuichezea Arsenal na wanapaswa kuuzwa iwe ni kwa kulazimisha au hiari!!
Kila siku huwa nasema Lacazette siyo mchezaji anayepaswa kucheza Arsenal,sijajua hii Taka taka waliokotea wapi,Hv foward unajua kabisa mmeshafungwa goli unapata nafasi kama ile unashindwa kufunga,Hii siyo foward bali ni kopo la chooni la kujichambia!!
WACHEZAJI WANAOPASWA KUONDOKA ARSENAL IWE NI HIARI AMA LAZIMA
1.LACAZETTE
2.PEPE
3.ELNENY
4.DAVID LUIS
5.BELELIN
HIZI TAKA - TAKA ZOTE INAPASWA ZIONDOKE HAPO
Arteta pia inapaswa abadilike mbwa yule,haiwezekani unasajili beki kwa gharama kubwa kama GABRIEL halafu unamwacha nje,unawezaje kumwacha nje mkata umeme kama Cebalos?,Angalia Alipo ingia namna gemu ilivyobadilika kwa upande wetu japo hatukupata goli lakini unaona kabisa anaichezesha timu!!,Hii gemu huyu Arteta asingewachezesha hao matahira wenzie tulikuwa tunapata sare!
NIMEUMIA SANA!

Hakuna rangi wataacha kuiona hawaUmeruka Alhamisiunakutana na majogoo tena
![]()

Dully Jr, Aaron, Castr na Will Jr nsomba waje kutoa maelezo juu ya comrade Kipepe.Yule siyo mchezaji mkuu bali alikuwa muokota mipira huko aliko toka,inapaswa Arsenal warudi waangalie vizuri pengine labda tulibadilishiwa siyo yeye,Hakuna mchezaji anaye nikera hapo Arsenal kama PEPE na LACAZETTE
Mpaka sasa umeshaelewa tofauti ya uwanja wa nyumbani na Anfield.
Karibuni tena.
Huna team mzeeNinatafutia mkate wangu Makumbusho na ninaishi Boko Ili niangalie mechi usiku wazia narisk vingapi? So leo ni nina hasira huku akili ipo hoi.
Na muda wote nipo kwenye purukushani za magari nawaza zile miss mbili za Lacazette, sasa hivi huko alipo atakua anawaza nini? Striker kamili unakosaje kuscore katika near identical chances?
Timu yetu ilikua hoi yet among huo uhoi some individual thought "No lets go down fighting" wanakuletea mpira kisha unafanya ujinga? Nimezoea kuona strikers wawili wanaokosa wakibaki na kipa, Rashford na Tammy leo huyu kajileta kwenye group hili.
Xhaka kama ana kutu mwili mzima, Niles, Tierney wote hawajaperform katika expected performance. Nilisema Willian hung'aa mechi moja na kupotea zijazo. Leo imejidhihirisha na mechi iliyopita imejidhihirisha.
Arteta alisema hagombei kikombe chochote lakini sikutaraji performance iwe hivi hata nilivyoandika juu ya possession kona n.k. sikudhania itakua katika hali hii.
Leeds alipata goli 3 kwa Liva. Arsenal tumepata moja na nafasi mbili kaharibu striker so Leeds ana finishing nzuri kuizidi Arsenal inapokuja juu ya kucheza na Liva. Nilisema the only way Leeds secured those goals ni kwakua waliubeba ugomvi mpaka mlangoni kwa Liva nikasema tuliopt kustay tulivyokutana nao maajabu tukashinda.
Leo tumeopt kustay na tumeonyeshwa ni jinsi gani ulikua ni uamuzi wa kijinga.
Katika point 12 tumeshapoteza 3. Tuone tutasecure ngapi kati ya zilizobaki.
Lacazette mjinga sana.
On to the next one.
Liverpool Mara nyingi hawalitolei macho kombe la carabao ndio maana wanapanga kikosi Cha pili.Umeruka Alhamisiunakutana na majogoo tena
![]()
Na hicho hicho kikosi cha pili kitawala tena.Liverpool Mara nyingi hawalitolei macho kombe la carabao ndio maana wanapanga kikosi Cha pili.