Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dah ...... ..... hawa loserfools naona walimweka refa mfukoni.

Dah! Mbona mbona unaanza kulialia mapema?
Ukikutana na Manure si utatapika kabisa coz kuna Penalty ya Bruno kama kawaida.
 
Poleni wana arsenal wenzangu kwa matokeo haya.Mpira ni mchezo wa makosa.
Tumepata nafasi tumetumia chache na tumefanya makosa yametugharimu.

Ni matumaini yangu kuwa Liverpool walikuwa na hasira na msiba wa juzi ndiyo maana game ilikuwa ngumu pande zote.

Thanks to all arsenal fans. Tuna timu nzuri na tutafanya vyema next game.

Mungu ibariki arsenal Mungu tubariki arsenal fans tuendelee kuwa na umoja wetu.

We are the gunners forever.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NIMEAMINI YULE MUHINDI WA BETTING ATAENDELEA KUMALIZA HELA ZA VIJANA KAMA HAWA...YAANI ULIAMINI KABISA UTAMFUNGA mane,firminho,salah UKIWA NA KINA elnany na kipepe?
Mshabiki halisi lazima awe na determinant kubwa siku zote sasa wewe unapomzodoa ni wazi wewe ndo huujui mpira vizuri.
Kwani waliowalaza na viatu ni akina nani juzi mpaka kubeba lile kombe ni akina nani kama siyo hao akina Elney

Mpira ni mchezo wa makosa daima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nicolas Pepe is second worst signing after kepa arrizabalaga
Usimfananishe kepa na takataka pepe
kepa hajawahi kuwa sub ila pepe amekuwa sub mwanzo mwisho
kepa katupa championship mara 2 kwa babu sari na kwa lampard
kepa katupa europa pale baku
nyie pepe kawapa nini tangu aje kwenye timu akiwa first XI
 
Man City jana amebugizwa 5...... Sisi wala hatuna roho mbaya kiasi hiko. Tutapiga Liverpol bao 3 tu ili marehemu asidhalilike sana.
Kwa hiyo unamfananisha Liverpool na Leicester city na nyie na Mancity, huna adabu kabisa
 
Man City jana amebugizwa 5...... Sisi wala hatuna roho mbaya kiasi hiko. Tutapiga Liverpol bao 3 tu ili marehemu asidhalilike sana.
Vipi hizo goli 3 mbona zimerudi kwako au ulikuwa unaota kipindi unaandika hizo pumba zako
 
Castr
DullyJr
Aaron Arsenal
Will jr
computerarsenal
14Henry
Relief Mirzska
gspain

Ndugu zanguni hii mechi kweli tumefungwa lakini maisha lazima yaendelee,katika ujengaji wa timu ajali Kama hizi lazima zitokee,

Bila shaka arteta atakua amejifunza sth juu ya style yetu ya kufanya 'build up' dhidi ya time zinazofanya press Kama Liverpool,

Laccazzette! Laccazzette! Dah!! Sijui Jana aliwaambia nini wenzake!,double open chances afu katika mechi Kama Ile hauwezi ukakosa kipuuzi vile,

Anyway let's look to another fixture.
 
Wambie waje kuijenga timu yao huku sio wanakimbia hovyo kama watoto wa mitaani
 
Ila Leno naye tatizo lingine haiwezekani timu inacheza kwa kushambulia kwa kushtukiza halafu hakuna hata mpira mmoja anaofosi mbele eidha kwa viungo au washambuliaji yani mwanzo mwisho anatoa pasi kwa mabeki tena hajali wamekabwa au vipi aisee
Huyu Leno tumepigwa kabisa. Yan haiwezekani mchezaji yoyote akilenga tu golini IMOOO!!

Leno mtumishi hewa kabisa tumepigwa
 
Back
Top Bottom