Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ndugu zangu kipigo kinawahusu Leo

Angalia midfield alioiweka Klopp halafu angalia Sub kawaweka akina nani

Sub zote beki ni mmoja tu , Sub katia Origi, Minamino,Jota na ongezea dogo Curtis Jones

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app


Angalieni bandiko langu hilo nilisemaje baada ya vikosi kutoka

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Hawa Liverpool mbona hawaonyeshi dalili zozote za kuchoka??

Ni champions hivyo ni lazima waitetee rekodi yao.

Kwa Arsenal ni slight blip tupo nafasi ya juu tofauti ni 3 points.

Tungojee next game tunawakaribisha Sheffield United Emirates.

Ni must win game.
 
Recruitment policy ya arsenal bado ni ile ile ya wenger, you wait until the last day to conclude important deals. See what Jota has done, Msemo biashara asubuhi has a lot of meanings
Tujiandae kutolewa Carabao Cup Thursday,huyo Jota ataanza na sio first eleven kwa sasa Liverpool,sisi tutamuanzisha nani?I don't know
 
Leo hatujataka kuwaaibisha kama tunavyofanyaga leo tumewafundisha mpira ili muwe na heshima na wakubwa zenu maana mnazidi kubwabwaja sana siku hz......
..nafmdhan somo la pasi na kukabia juu mmelielewa

sasa Alhamisi msitutie aibu tena kuanzishia mpira kwa kipa wakati unajua bek wako ni Luiz tutawanyeshea mvua wale kina jones hawanaga huruma
 
Back
Top Bottom