Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,077
- 7,420
Angepotezwa tu, amepata ahueni kuingia kipindi cha pili,nlikuwa namtaka Aouar pekee lkn leo nasema waje wote na ParteyLeo Bora Ceballos angeanza asee.
Angepotezwa tu, amepata ahueni kuingia kipindi cha pili,nlikuwa namtaka Aouar pekee lkn leo nasema waje wote na ParteyLeo Bora Ceballos angeanza asee.
kabisa mkuu,alivyokosa goli la pili nikajisemea sasa tunapigwa la tatu kwa uzembeTuacheni kutupia kila mtu lawama. No matter how we played, in a big game like this forward wetu first choice hawezi kukosa goli kama lile.
Game iliisha pale pale. Those are the chances you just have to smash them in.
Watu wanadai wachezaji wao wengi wana asthma.Hawa Liverpool mbona hawaonyeshi dalili zozote za kuchoka??
Xhaka ni wa kawaida mnoo.Angepotezwa tu, amepata ahueni kuingia kipindi cha pili,nlikuwa namtaka Aouar pekee lkn leo nasema waje wote na Partey


Nimewaza sana sema nimeamua kukaa kimya. Torreira anakichafua sana sielewi nini kinatokea. Hii game hata angeanza Torreira na mmoja kati ya Elneny/xhaka nakuhakikishia Pale kati kingechafuka
Mkuu samahani, unaujua mpira na kuufatilia mpira wa kizazi hiki vzuri?Kuna wachezaji hawafai kabisa kuichezea Arsenal na wanapaswa kuuzwa iwe ni kwa kulazimisha au hiari!!
Kila siku huwa nasema Lacazette siyo mchezaji anayepaswa kucheza Arsenal,sijajua hii Taka taka waliokotea wapi,Hv foward unajua kabisa mmeshafungwa goli unapata nafasi kama ile unashindwa kufunga,Hii siyo foward bali ni kopo la chooni la kujichambia!!
WACHEZAJI WANAOPASWA KUONDOKA ARSENAL IWE NI HIARI AMA LAZIMA
1.LACAZETTE
2.PEPE
3.ELNENY
4.DAVID LUIS
5.BELELIN
HIZI TAKA - TAKA ZOTE INAPASWA ZIONDOKE HAPO
Arteta pia inapaswa abadilike mbwa yule,haiwezekani unasajili beki kwa gharama kubwa kama GABRIEL halafu unamwacha nje,unawezaje kumwacha nje mkata umeme kama Cebalos?,Angalia Alipo ingia namna gemu ilivyobadilika kwa upande wetu japo hatukupata goli lakini unaona kabisa anaichezesha timu!!,Hii gemu huyu Arteta asingewachezesha hao matahira wenzie tulikuwa tunapata sare!
NIMEUMIA SANA!
Ndugu yangu, Siku hizi hakuna cha home wala away. Kilichokuwa kinachagiza mtu ujione away ni MASHABIKI. kelele za mashabiki majukwaani zinachangia sana kutoa hamasa kwa timu zao na kuzinyong'onyeza timu pinzani.... Level ya commitment mbele ya mashabiki ni kubwa sana kwa wachezaji. ....
Bila washabiki mimi naona ni NEUTRAL GROUND.
#Liverpool ATAPIGWA, ATACHAKAA
.Mkuu siyo huyu tu,kuna Taka taka kama Lacazette,elneny,belelin,david luis ambazo inapaswa zifagiliwe mbali,Jamani Nicolas Pepe ni Yule Yule wa last season hamna maajabu mlokuwa mkijipa moyo sijui first season ni kuogopa ukweli tu nyota njema huonekana asubuh lkn kwa Pepeimeshindwa kuonekana hata jioni
![]()